Safarini Lindi/Mtwara

Nimejaribu kuangalia mkuu, lakini cjaipata,,,,,,,,,
 
Suala la usafiri wa Mtwara mkuu lilishajadiliwa humu jf,labda kama unaenda kuangalia uwezekano wa kutoka kwa gesi,maana hata hapo unapotokea nna mashaka umetumwa..NENDA KAMANDA,ITATOKA TU.!

Nimejaribu kuangalia mkuu, lakini cjaipata,,,,,,,,,

TZ yetu gonga hiyo link hapa chini

Link: https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/437734-safarini-lindi-mtwara.html
.
 
Kwa basi tafuta machinga,ni mapema uko mjini,kuhusu hicho kipande ambacho hakijengwa usiwe na wasiwasi hapasumbui.
Karibu ila HAITOKI

Karibu kusini.. Ila HAITOKI

Naona wote mlioko mtwara mnamkaribisha halafu mnamalizia na haitoki, ni nini ambayo haitoki, nahitaji kujua

Nini hii isiyotoka

Haitoki !!!! kitu gani? Mnatutisha tusije kwenu.

na mimi nilitaka kuuliza swali hilo hilo asante kwa kuuliza

Mkuu umewasahau NAJMA (semi luxury) na WIFI NAE(ordinary)! Ama hawaendi tena kusini?

Ahsante kwa kunielewesha, kumbe ni gesi
ram

Maundumula
Asante
Jiwe Linaloishi
.

Safari ni ya kikazi je kwanini usipande Ndege? Nafikiri kwenda na gari binafsi au Bus ni aghali zaidi na risk ni nyingi mkuu
kwenda na bus ni aghari kuliko ndege!!usijifanye huzijui safari za kikazi zinalipwaje!unadhani ofc zote zinatoa nauli ya ndege siyo!!!
 
Livai Tsh 15,000/-
 
TZ yetu:
kaitoe aisee,ilete hadi dom pale ili watz wengne wanufaike nayo.
 
Nimejaribu kuangalia mkuu, lakini cjaipata,,,,,,,,,

Ingia website ya SUMATRA utaona bei elekezi, ila ni kati ya 20,000 hadi 30,000.
Basi zuri na linalowahi kufika ni Buti La Zungu, lakini unaweza pia wacheck na Royal Coach au Machinga.
Kwa kukata ticket nenda Temeke Mwisho au hata Ubungo Bus Terminal.
 
Suala la usafiri wa Mtwara mkuu lilishajadiliwa humu jf,labda kama unaenda kuangalia uwezekano wa kutoka kwa gesi,maana hata hapo unapotokea nna mashaka umetumwa..NENDA KAMANDA,ITATOKA TU.!

Chacha nawe chamaki nchanga unabicha; itatoka tu

itatoka!!

TZ yetu:
kaitoe aisee,ilete hadi dom pale ili watz wengne wanufaike nayo.

.

Kwa basi tafuta machinga,ni mapema uko mjini,kuhusu hicho kipande ambacho hakijengwa usiwe na wasiwasi hapasumbui.
Karibu ila HAITOKI
Mbona hiyo gesi ilishatoka zamani?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…