mkuu the last time i have been to HK ilikua 2010...
Jinsi rahisi ya kujua bei ni kucheck kwenye mitandao ya ndege utapata bei ambayo ni kama rough figure hivi, normally huwa inakua juu kidogo sana ukilinganisha na ile ambayo ni halisia, though itakusaidia kubudget.
Nadhani una bahati kwa hiyo miezi unayosafiri kule ni winter fall ingawa hongkong huwa hakuna misnow kama ilivyo kwa China mainland.