Capo delgado?sio kwa sabahu za kiusalama bali wanatafuta wapinga kristo wawapoteze.
Starlink is inevitable… just a matter of timeKama ilivyo kwa kampuni nyingi za simu kujiemdesha kwa unyonyaji, Safaricom Kenya wamepata cha mtema kuni baada ya Elon Musk kuanza kutoa huduma nchini humo na wateja wengi kukimbilia Starlink.
Hii inakuja baada ya kuwa na mkopo wa kifaa kwa wasioweza kukinunua moja kwa moja.
Mapema Safaricom wameanza kupiga kelele zikiashiria wanataka Starlink iondoke Kenya wakidai Serikali haina uthibiti juu ya Starlink hivyo inahatarisha usalama wa kimtandao.
Kwa hapa kwetu Tanzania tusitegemee sana Starlink kuja kwani sharti walilowapa la kuweka ofisi ni gumu kulingana na utendaji wake.
Lakini pia viongozi wengi ni wawekezaji katika haya makampuni hivyo ili kulinda maslahi yao watapiga vita vya nyuklia kuja kwa Starlink.
Nanunuu, " Mtasubiri starlink haiji leo wala kesho". Hayo ni maneno ya mtumishi wa TCRA ngazi ya juu kabisa nilipokuwa nikipiga nae story na kujikuta nimesema intanet ya Starlink iko poa sana ikifika Tanzania tutakula maisha.
Iko hivi, serikali ya Tanzania ni miongozi mwa serikali wanataka hata ukituma meseji kwa mpenzi wako waone.
Na wanafanya hivyo sio kwa sabahu za kiusalama bali wanatafuta wapinga kristo wawapoteze.
Na hapo kwenye kuomba omba ndo weakness yetuStarlink itakuja tu, ni kiasi cha ataekuwepo nyumba nyeupe, Harris au Trump, musk atamwambia TZ wanazingua.
Achana na social mediaTanzania nayo wanakuambia wana hofu na usalama, hiki mbona kichekesho.
Yaani sisi wazungu hata hawahangaiki na sisi kujua taarifa zetu, social medias zote ni zao kuanzia youtube hadi tiktok, messengers kama whatsapp, facebook n k ni wao, wanaona vyote tunavyofanya.
Ndio maana US walisema tiktok waweke data centers za tiktok kwa watumiaji wa US pale US chini ya oracle na sio China.
Wale ndio wanamaanisha usalama sio huu upuuzi wa hapa tisiemu kazi ku deal na upinzani, huo ndio usalama.
Shenzi.
Zinaanzia shingapi?Wakenya wengi wanalia na gharama za starlink pia.
Safaricom hawaipendi ila uhalisia gharama za starlink ni kubwa sana
Hatuna tishio lolote kiusalama kwa nchi kama US.Achana na social media
Yani hadi zile equipment tu za kijeshi bado tunachukua kwao
Sasa hiyo ndio sehemu pekee ambayo walikuwa na uwezo wa kufanya hila zao zote kuhakikisha wana shake hiyo security
Gharama siyo kubwa, 50GB kwa 1300KSH/10.16USD wakati huku kwetu 4USD/10000TZS unapata 4GBWakenya wengi wanalia na gharama za starlink pia.
Safaricom hawaipendi ila uhalisia gharama za starlink ni kubwa sana
Kwa speed ya starlink, latency yake na uwezo wa kuconnect device nyingi, naona gharama zao ni affordable.Wakenya wengi wanalia na gharama za starlink pia.
Safaricom hawaipendi ila uhalisia gharama za starlink ni kubwa sana
starlink kenya wana subscriber kama 4000 tu baada ya takriban miaka 2 toka waanze kutoa hio huduma, hebu tupe hizo data kwamba Safaricom wanaliaKama ilivyo kwa kampuni nyingi za simu kujiemdesha kwa unyonyaji, Safaricom Kenya wamepata cha mtema kuni baada ya Elon Musk kuanza kutoa huduma nchini humo na wateja wengi kukimbilia Starlink.
Hii inakuja baada ya kuwa na mkopo wa kifaa kwa wasioweza kukinunua moja kwa moja.
Mapema Safaricom wameanza kupiga kelele zikiashiria wanataka Starlink iondoke Kenya wakidai Serikali haina uthibiti juu ya Starlink hivyo inahatarisha usalama wa kimtandao.
Kwa hapa kwetu Tanzania tusitegemee sana Starlink kuja kwani sharti walilowapa la kuweka ofisi ni gumu kulingana na utendaji wake.
Lakini pia viongozi wengi ni wawekezaji katika haya makampuni hivyo ili kulinda maslahi yao watapiga vita vya nyuklia kuja kwa Starlink.
Nanunuu, " Mtasubiri starlink haiji leo wala kesho". Hayo ni maneno ya mtumishi wa TCRA ngazi ya juu kabisa nilipokuwa nikipiga nae story na kujikuta nimesema intanet ya Starlink iko poa sana ikifika Tanzania tutakula maisha.
Iko hivi, serikali ya Tanzania ni miongozi mwa serikali wanataka hata ukituma meseji kwa mpenzi wako waone.
Na wanafanya hivyo sio kwa sabahu za kiusalama bali wanatafuta wapinga kristo wawapoteze.
Uongoooo mtupu satellite sio sawa bundle za kawaida ....huu uzushii na uongo Starlink ....wana charge hela nyingi mnoo $ 120 kwa volume based services......mna share kwenye fixed place huwezi move around sasa MNO wataathirika vipi ? Tuache uongoooKama ilivyo kwa kampuni nyingi za simu kujiemdesha kwa unyonyaji, Safaricom Kenya wamepata cha mtema kuni baada ya Elon Musk kuanza kutoa huduma nchini humo na wateja wengi kukimbilia Starlink.
Hii inakuja baada ya kuwa na mkopo wa kifaa kwa wasioweza kukinunua moja kwa moja.
Mapema Safaricom wameanza kupiga kelele zikiashiria wanataka Starlink iondoke Kenya wakidai Serikali haina uthibiti juu ya Starlink hivyo inahatarisha usalama wa kimtandao.
Kwa hapa kwetu Tanzania tusitegemee sana Starlink kuja kwani sharti walilowapa la kuweka ofisi ni gumu kulingana na utendaji wake.
Lakini pia viongozi wengi ni wawekezaji katika haya makampuni hivyo ili kulinda maslahi yao watapiga vita vya nyuklia kuja kwa Starlink.
Nanunuu, " Mtasubiri starlink haiji leo wala kesho". Hayo ni maneno ya mtumishi wa TCRA ngazi ya juu kabisa nilipokuwa nikipiga nae story na kujikuta nimesema intanet ya Starlink iko poa sana ikifika Tanzania tutakula maisha.
Iko hivi, serikali ya Tanzania ni miongozi mwa serikali wanataka hata ukituma meseji kwa mpenzi wako waone.
Na wanafanya hivyo sio kwa sabahu za kiusalama bali wanatafuta wapinga kristo wawapoteze.
Eti hadi kwenye Panton wanazuia kupiga picha sababu za kiusalama.Hatuna tishio lolote kiusalama kwa nchi kama US.
Hapo hao matapeli waliopo serikalini waseme ukweli tu kwanini hawaitaki starkink.
Suala la usalama bado hawawezi kupambana na kuzuia kudukuliwa taarifa na wazungu ama wachina.
Inachekesha sana kwa kweli.
US ihangaike kudukua nchi imejichokea hii, US wanahangaika na China ambao wana transmitter zao za huawei, wana satellite, wana social media zao kama tiktok n.k, wana simu zao n.k..