Mtetezi wangu yuhai
Member
- Sep 4, 2012
- 26
- 5
Ni kipindi cha Prof: Kikwete anamaliza muda wake wa mihula miwili kama katiba inavyoelekeza. Katika kipindi chake cha uraisi tumeshuhudia safari nyingi za viongozi akiwemo prof mwenyewe kwenda Ng'ambo kiasi cha kuweka record bila kujali gharama . Hii japo ni kutulaghai naombeni tuungane tutengeneze hata kampuni ya kuwasafirisha japo tufaidi hata kidogo maana wanamega kodi zetu na kutuacha ile hali dhoofu wakisema SERIKALI HAINA HELA; kwa wale wataalamu tuambiane nauli na gharama za Marekani uingereza china india ujerumani ufaransa na nchi wanazopenda kwenda . Nawasilusha kwa Meza.