safari za usiku.

safari za usiku.

mzawahalisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2010
Posts
752
Reaction score
238
Habari za jioni wanandugu.
hapo awali nilijaribu kuweka bandiko hili ila sijui ni kasimu kangu ka mchina ama modes hakikukaa.

hoja yangu ya msingi ni namna ya Kusafiri nyakati za usiku hapa kwetu tanzania.
nchi za jirani zetu yaani Kenya na uganda wanasafiri usiku. hii inasaidia kuharakisha maendeleo. Mchana unafanya shughu
  1. li zako katika mji mmoja, usiku unasafiri anamkia mji mwengine kufanya shughuli nyingine na jioni yake unarudi kwenye mjo wako wa awali.
  2. Ninasema haya kwakuwa kwakweli nimetingwa ninahitajo kwenda Dar toka Moshi kesho ijumaa jioni,Jmosi asubuhi niamkie kwenye shuhuli huko maofisi mengine kabla hawajafunga saa sita, na jpili nirudi zangu kwa mwajiri wangu. usafiri wa malori sijaujua vyema ingawaje nahisi jamaa hawajali mda. sasa mapendekezo yangu ni haya:
    1. short term: kwa kesho kama kuna member anaye safiri kesho mchana ama jioni kwa gari lenye nafasi ya mtu 1 ambaye n mm ani Pm, nipo tayari kuchangia.
    2. serikali iruhusu tena safari za usiku kwa kuwa miundombinu imeimarika sasa.
    3. Kuwe na forum ambapo kama mtu anasafiri na gari binafsi lenye nafasi aweke bandiko apate (abiria) wadau wamchangie hata mafuta kidogo safari iwe nyepesi.
    nawasilisha.

    2.
 
  1. Kenya wanafanya safari za usiku, sina idadi ki takwimu lakini haraka haraka napata wastani wa ajali tatu kwa wiki hizi ni ajali high profile ambazo zina ambazo huwa zinahusisha mabasi ya abiria, mpaka sasa nao wameamua kupiga marufuku magari ya abiria kusafiri usiku, sasa wewe unamatatizo yako binafsi unataka nchi nzima ikufuatishe..usiku sio salama kuna utekaji, ajali madereva wanasinzia wanakula mirungi,
    Kama wewe umechoka kuishi usituhusishe na sisi.
 
1. Mkw wa mkuu, hilo la kutekana na lenyewe lipo, ni changamoto tujue namna ya kulikabili.2. Illegalmigrant kweli nina jilo tatizo kwa kesho, ila mapendekezo ni kwa siku zote kwani najua hali kama hii inawakumba watu wengi. Unapo sema sio salama je nisalama hivi abiria hao wanavyo dandia mafuso na magari ya magazeti? ushawahi lisikia hilo gari la magazeti wanao bebwa humo wanakaaje? barabara zetu sasa nyingi zina hali nzuri, gari za kutembea usiku zinakuwa na madereva wawili kama safari ni ndefu sana. wanasema uoga wako ndio umasikini wako. tunapo enda inabidi saaa tufanye kazi masaa 24 ili tujaribu kwenda na beat la maendeleo tutoke mkiani tuwaachie wengine jamani, ama wewe upo comnfortable in hell?
 
Habari za jioni wanandugu.
hapo awali nilijaribu kuweka bandiko hili ila sijui ni kasimu kangu ka mchina ama modes hakikukaa.

hoja yangu ya msingi ni namna ya Kusafiri nyakati za usiku hapa kwetu tanzania.
nchi za jirani zetu yaani Kenya na uganda wanasafiri usiku. hii inasaidia kuharakisha maendeleo. Mchana unafanya shughu

  1. li zako katika mji mmoja, usiku unasafiri anamkia mji mwengine kufanya shughuli nyingine na jioni yake unarudi kwenye mjo wako wa awali.
  2. Ninasema haya kwakuwa kwakweli nimetingwa ninahitajo kwenda Dar toka Moshi kesho ijumaa jioni,Jmosi asubuhi niamkie kwenye shuhuli huko maofisi mengine kabla hawajafunga saa sita, na jpili nirudi zangu kwa mwajiri wangu. usafiri wa malori sijaujua vyema ingawaje nahisi jamaa hawajali mda. sasa mapendekezo yangu ni haya:
    1. short term: kwa kesho kama kuna member anaye safiri kesho mchana ama jioni kwa gari lenye nafasi ya mtu 1 ambaye n mm ani Pm, nipo tayari kuchangia.
    2. serikali iruhusu tena safari za usiku kwa kuwa miundombinu imeimarika sasa.
    3. Kuwe na forum ambapo kama mtu anasafiri na gari binafsi lenye nafasi aweke bandiko apate (abiria) wadau wamchangie hata mafuta kidogo safari iwe nyepesi.
    nawasilisha.

    2.

  1. kenya washapiga marufuku safari za usiku toka tarehe 25/12/2013

    Kufuatia visa vingi vya ajali za barabarani nchini Kenya ,serikali imeanzisha kanuni ya kutoruhusu magari ya usafiri wa umma kubeba abiria kati ya saa 12 jioni na saa 12 alfajiri kabla ya kupata leseni maalum kutoka kwa Mamlaka ya kitaifa ya usafiri na Usalama nchini humo (NTSA).
    Katibu Mkuu wa Wizara ya uchukuzi nchini Kenya Bw.Nduva Muli amesema kuwa hatua hiyo ni kufuatia kanuni zilizochapishwa katika gazeti rasmi la serikali tarehe 17 mwezi huu,na zimeanza kutekelezwa kuanzia jana usiku.
    Katibu wa Wizara ya uchukuzi nchini Kenya Bw.Nduva Muli amesema kuwa ajali nyingi hutokea wakati wa usiku,na aliwalimbikizia lawama wahudumu wa magari ya umma kwa kutofuata sheria.
    Katika mwezi huu wa Desemba zaidi ya watu 190 wamepoteza maisha yao kutokana na ajali za barabarani.
    Muli alisisitiza kauli ya usalama barabarani na kutoa ilani kwa madereva wa usafiri wa umma kuwa watachukuliwa hatua kuanzia usiku wa jana iwapo hawatafuata sheria.
    "Iwapo wahudumu wa magari ya usafiri wa umma hawatatii kanuni kuhusu udhibiti wa usafiri wa usiku -kutosafiri kati ya saa 12 jioni na saa 12 asubuhi watakiona cha mtema kuni.Kanuni hizi zinafaa kufuatwa kikamilifu.Tunatumia fursa hii kutoa ujumbe huu kwa watu wote kwamba kanuni hizi zinafaa kufuatwa.Tafadhali musiabiri magari ambayo hayana leseni maalum ya kuhudumu usiku."
    Haya yamejiri kufuatia ajali iliyotokea juzi usiku kati ya basi la kampuni ya Horizon na lile la kampuni ya Spring iliyosababisha vifo vya watu 17 eneo la Mtito Andei.
    Katika mwezi huu wa Desemba ajali tofauti zimeweza kushuhudiwa.Watu zaidi ya 190 wamepoteza maisha yao katika ajali za barabarani mwezi huu wa Desemba.
    Hata hivyo wakenya watasubiri kuona utekelezwaji wa sheria hiyo,hasa kutokana na kuwa hakuna hata leseni moja ya usiku iliyotolewa kwa kampuni yoyote ya usafiri wa umma.
    Kwa mujibu wa kanuni chini ya Ilani ya sheria nambari 219 ya Sheria ya Mamlaka ya Usafiri wa Taifa na Usalama,kila mhudumu wa wa magari ya usafiri wa umma wa mwendo mrefu,kwanza anahitajika kuhakikisha kwamba ameajiri madereva wawili waliothibitishwa na kupasishwa na mamlaka hiyo.
    "Makampuni yote yanayotoa huduma za usafiri wa umma wa mwendo mrefu nyakati za usiku yanafaa kuajiri madereva waliopasishwa na mamlaka kuendesha gari usiku kwa kufuata vikwazo vilivyowekwa na mamlaka ya usafiri."
    Aidha wenye kampuni za usafiri wa umma wanafaa kuhakikisha kwamba dereva hataendesha gari kwa zaidi ya masaa manane na kwamba atapumzika kwa masaa manane kabla ya kuanza zamu nyengine.
    "Wenye kampuni wanafaa kuhakikisha kwamba dereva wa masafa marefu hawafanyi kazi kwa zaidi ya masaa manane.Wanafaa kuhakikisha kwamba dereva anapumzika kwa masaa manane kabla ya kuanza zamu nyengine na pia wapange safari kwa njia ambayo itaruhusu pumziko la nusu saa kwa abiria na dereva baada ya kuendesha gari kwa masaa 3 hadi manne na pia wanafaa kuajiri madereva wawili kwa kila basi."
    Katibu Nduva Muli amewataka abiria pia kuwasaidia wasimamizi wa sheria kwa kutoabiri magari ya umma ambayo hayana leseni maalum inayohitajika ambayo amesema ni lazima ibandikwe katika gari.
    Alisema Wizara ya Usafiri tayari imechapisha kanuni hizo kwenye magazeti na kuwasihi wenye makampuni ya magari ya usafiri wa usiku kutii amri na kuchukua leseni hizo.
    Mwezi Agosti mwaka huu,mojawapo wa ajali mbaya zaidi za barabarani iliyohusisha basi la kampuni ya City to City ilisababisha vifo vya watu 41 katika eneo la Ntulele kwenye barabara ya Mai Mahiu-Narok.
    Kampuni ya basi iliyohusika kwenye ajali ilipigwa marufuku na kushtakiwa na serikali.Hata hivyo hii haikuchukuliwa kama funzo na kampuni zengine za mabasi.
    Maafisa wa polisi wa trafiki pia wamelaumiwa kwa kupokea hongo kutoka kwa wanaokiuka sheria za barabarani,ambao baadaye husababisha ajali.
    Lakini sasa macho yote yanalekezwa katika sheria hizi mpya na jinsi zitakavyotekelezwa. Kufuatia kuongezeka kwa ajali barabarani humu nchini serikali kupitia waziri wa uchukuzi mhandisi Michael Kamau imerejesha tena kifaa maalum cha kupima ulevi hasa kwa wale wanaoendesha magari barabarani.
    Zaidi ya watu 3000 nchini Kenya wamepoteza maisha yao katika ajali za barabarani mwaka huu.
 
Hadi kufikia miaka ya mwanzoni ya 90, kulikuwepo kwa usafiri wa mabasi wakati wa usiku.

Nakumbuka,kwa mfano mkoa wa Arusha ulikuwa na ratiba ya aina mbili wa safari za usiku kwa mabasi yaendayo DSM, ambapo mabasi ya kawaida yalikuwa yanaondoka saa 10 jioni na yale ya starehe (Luxury) saa 2 usiku.

Kama sikosei ajali iliyotokea katika barabara ya Morogoro Dodoma ndiyo iliyopelekea upigwa marufuku safari zote za usiku na waziri mkuu wa kipindi hicho...
 
Kama tunataka kuendelea na kuondokana na umaskini huu ni lazima na viongoz wetu wabadlilke kifikra. Na mojawapo ya nyenzo muhimu kwa maendeleo ni miundombinu kwenye usafiri. kwa kuwa si wote wanamudu usafiri wa ndege, na hatuna usafiri wa treni za kasi, usafiri wa usiku unasaidia sana kupunguza siku zinazopotea.
Suluhisho la ajali au uvamizi si kukataza safar za usiku,ni kuboresha ufuatiliaji na kanuni, mfano safar ndefu kuwa 2, haliitaji bajet ndo litekelezeke.
Usafiri wa magari ya mizigo binafs nimejiwekea ahad KAMWE sitopanda tena, kuna mauzauza meng mara apakie hik mara ajiskie kupata kinyaji mahal, mara apitie kwa flan pale duh! mara ya mwisho nimeanza safar saa 11 jioni ili asbui niwe mjin nianze kaz zangu nkajikuta nafika mjini saa 6mchana
 
Kwa hawa madereva wa mabasi yetu,ajari zitaongezeka maradufu,watakuwa wanakunywa viroba huku wanaendesha magari,itakuwa ni hatari hasa.
 
Kule Kenya utaratibu wa mabasi kusafiri usiku umeanza,but only through special licence ya kuruhusu safari za usiku.Nadhani serikali ilikuwa na njaa 2.
 
Kenya hawajapiga marufuku bali unaenda kuchukua kibali cha kuendesha usiku.

Ukienda uganda huduma za western union ni masaa 24 .

Lakin tanzania saa 10 washafunga.

Kwa mtindo huu wa kufanya kazi mchana tu tanzania msahau maendeleo.

Nchi tajiri ufanya kazi kwa saa 24
 
Kweli tunahitaji maendeleo lakini niseme kwa mfano ukifanyika ukaguzi wa ukweli wa magari yenye sifa ya kuendelea kubeba abiria Kwa sasa sijui kama haya mabasi yatakuwepo, hata kwa hiyo mchana. Nadhani wale ndugu zangu waliosoma transport management watakuwa wanaelewa naongea nini, ni hivi hii kazi ya mabasi hapa kwetu inafanyika kimazoea tu na sio kiuweledi, kwenye baadhi ya nchi kuweza kufuzu kupata leseni ya kuendesha mabasi inahusisha back ground check, yaani unafanyiwa uchunguzi utafikiri unataka kununua bunduki. Hapo sasa inabidi wataalamu wa mambo ya usafirishaji kama wapo wakae upya watengeneze structers ambazo watapewa wafanyabishara waone kampuni ya usafirishaji abiria inatakiwa iweje kila ofisi ina organisation structure jamani kwenye sasa kwenye makampuni mengi tuliyonayo utakuta mmiliki anafanya kila kitu yeye masoko anafanya yeye. Hii utagundua ukipiga simu za mabasi wanapokea wamiliki kisha watakwambia "ngojea niwapigie vijana wangu pale ubungo", utakuta ufundi anafanya yeye anakwenda kununua spare pale mnadani wakati mwingine anataka aendeshe yeye kama ilivyokuwa kwa lile basi la taqwa ambalo lilikuwa linatokea zimbabwe likapata ajali na kuua. Kwa hiyo marekebisho mengi yanahitajika, ni nani amewahi kuona kwenye gazeti nafasi za kazi madereva wa mabasi wanahitajika wawe na sifa fulani..wewe umewahi kujiuliza hao madereva wanaotuendesha wana ajiriwa kwa mchakato gani. Ni Mungu tu anatuepusha.
 
Yoooote yanayoandikwa humu ni point. lkn serikali na sumatra wamwvaa miwani za mbao na masikioni wameweka udongo.
 
Ajali bado ni nyingi sana ucku, angalia mfano wa magari ya mizigo mara nyingi ajali zao hutokea ucku tena kuelekea alfajir kwakua madereva wanakua wamesha choka na ucngizi umewazidi!
Buss la abiria likipata ajali ucku vifo vitakua vingi sana ikizingatiwa huduma za uokozi mida ya ucku ni hafifu sana, tena hata ukiwahishwa hospitali wahudumu nao ni wachache mida hiyo so hali bado co nzur ucku co salama kwa ujumla!

dereva wa kitanzania ukimwambia lala mchana ucku uje kazi hapo ujue mchana anapiga deiwaka halafu ucku anakwenda kwa muajir wake, sasa kwa dereva kama huyi tutapona???
 
1. Antie Suzansoma vyema habari yako utagundua hawajapiga marufuku bali wame weka tatatibu za kudhibiti ili kupingiza ajali za uzembe.2. Muhamakilosoma bandiko la Antie Suzan, wakenya wameweka taratibu nzuri tu. Inchi yenye akili na niya maendeleo haiwezi kwepa hili.3. snailChunguza magari yanayo safirisha misiba yanasafiri saa ngapi na ushasikia ajali ngapi? tukiamua tunaweza, tuwe serious jamani kwa kile tunachofanya, hilo ndilo kubwa.Bado members sijapata anaye ondoka leo alasiri toka moshi kwenda dar, kama yupo ani PM.
 
mawazo yako mazuri xanaaa, nakuunga mkono asilimia 0%.bwana we kama umechoka maixha yako ww mwnywe,pia kama unaona una shughul nyng nunua gar ya ko binafsi usitusumbue tafadhali
 
Ant Jay, nashukuru kwa mchango wako hii ni kama brain storming ambapo hatukatai wazo lolote. Moja ya walimi wangu kashhawahi kuniamni watu ni wagumu sana kupokea mabadiliko ila taratibu tutafika.
 
Back
Top Bottom