Hivi Serikali iliyositisha huduma za gari moshi njia ya Tanga_Moshi_Arusha ilikuwa chini ya chama gani hiyo miaka 30? Nahisi bado nilikuwa mdogo.
Kama ilikuwa chini ya chama kingine cha siasa kwa kweli Serikali iliyopo chini ya chama chetu cha mapinduzi inastahili pongezi!