Duh!!! Hakika umekosa la kuandikaTatizo Magufuli alifosi alizani atakuwa Rais milele.
Hapa Dar foleni zimezidi sababu wafanyakazi wa serikali karibu wote wanakimbilia dsm. Kama issue ya dodoma imekuwa ngumu wangetangaza kuwa wanarudi dsm haitakuwa dhambi.
Jiwe alilazimisha serikali kuhamia Dodoma! Hakukuwa na haja ya kupoteza mamilioni ya fedha kulazimisha jambo hili! Alitaka tu aonekana bora kuliko kina Nyerere, Ruksa, Ben na JK!General Ulimwengu aliwahi sema kwamba yeye akiuliwa ni wapi Makao makuu ya nchi yalipo kwa sasa jibu lake litakuwa ni Katikati ya Dar na Dodoma.
Ni wamati wa Serikali kuamua either irudi Dar au iwe Dodoma moja kwa moja, kupunguza gharama...
Sijakosa la kuandika huo ndio ukweli.Duh!!! Hakika umekosa la kuandika
Huna akili wewe!Tatizo Magufuli alifosi alizani atakuwa Rais milele.
Hotel zake mwendazake zilipata watejaDodoma to Chato haikuwa matumizi makubwa.
Crew ya Rais kukaa mwezi Chato matumizi yalikuwa yanapungua
CCM Chama kinacholisindilia taifa kwenye Lindi la umasikiniGeneral Ulimwengu aliwahi sema kwamba yeye akiuliwa ni wapi Makao makuu ya nchi yalipo kwa sasa jibu lake litakuwa ni Katikati ya Dar na Dodoma.
Ni wamati wa Serikali kuamua either irudi Dar au iwe Dodoma moja kwa moja, kupunguza gharama....
Comment usipoielewa ujue ipo nje ya uwezo wako wa kufikiri.Huna akili wewe!
Nazani wewe uwezo wako wa kufikiri upo hasi,maana unajibu hoja kwa mihemuko badala ya kutupa facts,kivipi alilazimisha? Makao makuu ya nchi yapo wapi? Bangladesh!Comment usipoielewa ujue ipo nje ya uwezo wako wa kufikiri.
Nakushauri comment za namna hii usisumbuke nazo