Safari yangu ya Urais wa DARUSO yatimia

Safari yangu ya Urais wa DARUSO yatimia

dar es salaam
Kwnye
yang
Kushae

Hapo UDSM kuna watu wanachukua Master's, PhD n.k. Watu kama hawa kuongozwa na mtu asiyeweza kunyoosha aya moja tu ni dhihaka kwao. Rais wa DARUSO unaandika aya nzima bila comma wala nukta?!

TCU ijitathmini upya swala la kudahili wanafunzi wa kusoma UDSM. Period! Ustawi wa taifa unatokanaje na DARUSO?!

Labda alikua na haraka,

NB;- LABDA.
 
Nikiwa ni mgombea urais wa daruso (Serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha dar es salaam) kwnye uchaguzi mkuu unaoendelea chuoni sasa ni furaha yang sasa kushae nanyi wanajamvi wenzangu ili kwa mawazo na ushauri wenu tuweze kuijenga daruso mpya kwa ustawi wa taifa hili.
Fuatilia ujenzi wa cafeteria kwenye hostel mpya, watu tunahitaji kuwekeza pale.
 
Verify username yako upate uhalali wa kujieleza mbele ya halaiki.

TOKA MAFICHONI.
 
Nchi imepatikana, Rais wa DARUSO unayempendekeza hana creativity. Kwanza ameiba slogan ya Lissu wakati wa kugombea urais TLS. Pili slogan yenyewe ina makosa ya kiuandishi "rediscovering"
ilitakiwa aseme hivi:-
I want to make Darusu (to)rediscover its mission.[emoji736]
sio hivi.
I want to make Daruso rediscovering it mission[emoji735]
 
siamini kama DARUSO ipo tena kama ile ya enzi za kina mtatiro, Odwang Stevene, kurudi huku nyuma, labda kidgo nilimsikia Kipara miaka ya hvi karibuni...

natamani Prof Mkandala haifute tu maana haina tija tena kwa watto wanaotoka Mashambani, kama wadogo zetu kule vijijin wamerudi kwa kukosa mikopo, sasa kuna umuhimu gani wa haya mambo ya DARUSO?

tena unasema ndoto yako imetimia kirahisi kabisa, unaonekana umeitka DARUSO, ili utimize haja ya moyo wako na wala sio kusaidia jamii ya wana UDSM
 
Kwenye hilo pendekezo lako au tamaa yako juu ya kufutwa kwa DARUSO sijui umetumia kigezo gani mkuu katika hili. Hivi ni sawa kupendekeza hivyo ati kwa sababu DARUSO ya sasa haina "watu wa kazi" kama ya kina Mtatiro na waliowatangulia ? Hautambui kwamba changamoto zinabadilika na pia kwa ujumla watu wagumu wanazidi kupungua kama sio kuisha kabisa kwa kadri siku zinavyosonga ?
 
Nikiwa ni mgombea urais wa daruso (Serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha dar es salaam) kwnye uchaguzi mkuu unaoendelea chuoni sasa ni furaha yang sasa kushae nanyi wanajamvi wenzangu ili kwa mawazo na ushauri wenu tuweze kuijenga daruso mpya kwa ustawi wa taifa hili.
pumba tupu ww jeremia na wenzako hakun kipya!
daruso na siasa za maji taka!
 
Back
Top Bottom