Safari yangu ya Urais wa DARUSO yatimia

Safari yangu ya Urais wa DARUSO yatimia

Pamputi

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2016
Posts
982
Reaction score
724
Nikiwa ni mgombea urais wa daruso (Serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha dar es salaam) kwnye uchaguzi mkuu unaoendelea chuoni sasa ni furaha yang sasa kushae nanyi wanajamvi wenzangu ili kwa mawazo na ushauri wenu tuweze kuijenga daruso mpya kwa ustawi wa taifa hili.
 
dar es salaam
Kwnye
yang
Kushae

Hapo UDSM kuna watu wanachukua Master's, PhD n.k. Watu kama hawa kuongozwa na mtu asiyeweza kunyoosha aya moja tu ni dhihaka kwao. Rais wa DARUSO unaandika aya nzima bila comma wala nukta?!

TCU ijitathmini upya swala la kudahili wanafunzi wa kusoma UDSM. Period! Ustawi wa taifa unatokanaje na DARUSO?!
 
dar es salaam
Kwnye
yang
Kushae

Hapo UDSM kuna watu wanachukua Master's, PhD n.k. Watu kama hawa kuongozwa na mtu asiyeweza kunyoosha aya moja kutuaka kwao. Rais wa DARUSO unaandika aya nzima bila comma wala nukta?!
TCU ijitathmini upya swala la kudahili wanafunzi wa kusoma UDSM. Period!
Mkuu, huyu jamaa unaweza ukakuta alipata Div 1 advance na ndiyo maana akachaguliwa UDSM. Kwa hiyo unataka TCU wafanye nini zaidi ya ku-judge mtu kwa matokeo aliyoyapata?

Furthermore, UDSM pia ina vilaza tena wengi tu kwa hiyo usitake kusema mengine.

Period.
 
Mbona unafuka moshi ivi mkuu kipi kimekukuta..
 
Nikiwa ni mgombea urais wa daruso (Serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha dar es salaam) kwnye uchaguzi mkuu unaoendelea chuoni sasa ni furaha yang sasa kushae nanyi wanajamvi wenzangu ili kwa mawazo na ushauri wenu tuweze kuijenga daruso mpya kwa ustawi wa taifa hili.
Kwanini Unataka kuwa Raisi wa DARUSO?
 
RUSHWA!RUSHWA ilivyotamalaki hivyo tutegemee nini? Uwezo wa mtu hupimwa akishaanza kazi, so subiri uanze kuwajibika kijana.
 
Jamaa acha kudanganya watu mgombea wetu tunayemuamini ni huyu hapa
0e721e1eb931794bd913b1807772c3c5.jpg
 
dar es salaam
Kwnye
yang
Kushae

Hapo UDSM kuna watu wanachukua Master's, PhD n.k. Watu kama hawa kuongozwa na mtu asiyeweza kunyoosha aya moja tu ni dhihaka kwao. Rais wa DARUSO unaandika aya nzima bila comma wala nukta?!

TCU ijitathmini upya swala la kudahili wanafunzi wa kusoma UDSM. Period! Ustawi wa taifa unatokanaje na DARUSO?!
Onta, mbona hujibu Pm braza?
 
Back
Top Bottom