Safari yangu ya uasi!

Yaani wamekufanyia upasuaji wakanyofoa madude?
Au wamekata waya zinazopitisha umeme kutoka kwenye main switch?
 
Uliona tunafaidi sana kukupelekea moto!
Ngoja uanze kugeuka kuwa vampire ndiyo utajua hii dunia ni mbaya.
 
Nikupe number ya Dkt wa Mirembe?
 
Huyu mleta thread hakuwahi kuridhika na jinsia yake,amekuwa akilalamika mara nyingi kuwa hapendi kufanya mapenzi.
Ameona haitoshi kaamua kuhasi kabisa na kubadili id toka Red-me to Binti tz,tayari ameshaaga mashindano
 
nimelipia Tzs 2,500,000 kukamilisha zoezi nafurahia sana maisha yangu mapya bila hisia za kupenda wala kutaman🥺🤔🙇🏿‍♂
 
Eeh buda umefanya uamuzi mkubwa sana, heshima kwako kwa ujasiri wako. Lakini nikuambie ukweli, nguvu za kiume zinaweza kushuka kweli, hasa kama huna hormone replacement therapy. Mwili wako utabadilika taratibu, utaanza kubong'oa kwa miaka 2-3. Lakini kama wewe umefurahia na unahisi amani ndani yako, basi hilo ndilo jambo la msingi. Mahari sasa? Kwanza subiri mwili ujipange, usikimbilie maamuzi mengine. Umeanza safari mpya, bado iko changamoto lakini nakuombea uwe na amani ya moyo zaidi.
 
Hiyo haihusian na suala la la kuharibu mfumo wa fahamu matumaini yangu hapo ukishikwa Tako utajisikia unasisimuka mwisho UNAPIGWA BOMBA usingefanya hivyo wambie wakurudishie
 
Baada ya kuhasiwa Red-me ume amua ujiite kabisa Binti tz
Astaghafullah one man down ume ona madem wanafaidi kupigwa miti na ww umeona ukawe mpigwa miti na mizizi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…