Safari yangu ya siku 100 bila ngono wala punyeto

Mwaka 2019 ulivoanza nilijiwekea kamkataba kagumu kwamba nisigegede wala kufanya masturbation kwa Siku 100. Ni maamuzi magumu maan nguvu ninazo na sina tatizo lolote, Nimeamua kujitoa kwenye mahusiano kwa hizi siku 100 na kupotezea kabisa vitu vinavyochochea fikra za kingono.

Nipo Siku ya 22 nakaribia kumaliza mwezi sijagegeda ama kumasturbate. Wiki ya kwanza nilikuwa napata shida sana na kuna kipindi nilitaka niwashe gari.

Ex girlfriend wangu alipokuja kunisalimia na tukaanza kukumbatiana na kubusiana nilitaka kushawishika ila namshukuru Mungu hodi ilipigwa mlangoni ndio ilikuwa pona yangu.

Vitu navyo experience hadi sasa ni kwamba

1. Hali ya umakini katika utendaji wa kazi umeongezeka.

2. Kwa sasa hali ya kutunza kumbukumbu imeongezeka sana na nimetumia mwanya huu kuanza kujifunza lugha mpya.

3. Wanawake nimeanza kuwaona kama marafiki ama watu wa kupiga nao stori. Kabla ya hapo wanawake wengi niliokuwa nkikutana nao nlikua naongea nao kwa nia ya kuwagonga na kama wakikataa nilikua sioni umuhimu wa kuendelea kuwa rafiki zao. Kwa sasa nmepata marafiki wapya wa kike tunaongea kama marafiki tu japo kuna wengine nawachomolea wakianza mada za kuniharibia safari yangu.

4. Nimekuwa na Self control. Katika vitu vilivyokua vikinisumbua kucontrol ni ngono. Ngono ilikuwa inanitawala pindi navyopandwa na haja na kuniendesha akili. Kwa sasa nina furaha kwamba siendeshwi na ngono.

5.Roho yangu ina amani kwasababu nimepunguza idadi za dhambi: ni wazi kabisa watu wengi dhambi wanayongoza kuitenda ni kungonoka ukiachana na ngono iliyoruhusuwa kufanyika na wanandoa, pia katika dini ya kikristo kumwaga bao nje ya uke au kulikinga bao kwa condom ni dhambi na hata kumtamani mwanamke kingono ni uzinzi. Kwa kifupi dhambi zangu zimepungua sana kwasababu nimeachana na dhambi iliyokuwa naitenda sana.

6. Natumia muda na pesa vizuri. Kabla ya hii project nilipoteza muda mwingi na pesa ili kukidhi mahitaji yangu ya kufikicha. Nikikutana na mwanamke mwenye mapozi nilikuwa nahonga ili niweze kukidhi fasta hitaji langu la ngono na sometimes nlipoteza hela kijinga ili kununua vifurushi vya internet ili nicheki video za ngono, Muda pia nilipoteza sana katika kuhakikisha nakidhi mahitaji yangu ya ngono.

7. Nimeanza kusoma vitabu. Kuna muda nilikuwaga natumia kufuatilia vitu vya ngono. Sasa hivi huo muda nautumia kusoma vitabu. Jamani vitabu ni muhimu sana kuliko hata filamu.

8. Nguvu za mwili zimeongezeka. Huenda ikawa kwa sababu ngono ya mara kwa mara hudhoofisha mwili.

9. Natumia mda mchache kulala ili kuondoa uchovu, Naamka mapema nikiwa sina hata chembe ya uchovu...kabla ya hii safari nlikuwa nalala sana, nilikuwa naamka bilaa kuoenda kwasababu ya uchovu ...kwa sasa masaa sita yananitosha kabisa kuondoa uchovu tofauti na hapo nyuma nlipokua nalala siku ya jumamosi masaa nane ili niamke bila uchovu

10.Nimeongeza interaction na Jamii: Nlivyoanza hii safari nimeongeza kiwango cha kushiriki viwanja vya mazoezi, kanisani, kujumuika na vijana wenzangu kwenye vijiwe, n.k kabla ya hapo sikushiriki kikamilifu hizi shughuli kwasababu muda mwingi wa mapumziko ulitumika kutafta mademu, kufanya sex na hata nikawa nakatalia wageni kuja kwangu nlipokua nimeleta chombo ndani hio Siku,
Ni jaribio zuri kulingana na advantages ulizoziainisha ila tegemea siku zijazo utakuwa unafua mashuka kila siku kama kikojozi maana utakuwa unachafu kila siku (through sweet dreams? ) siku 100 sawa na miezi mitatu na ushee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ukitoka nje ya ndoa ndio ngono ? Ruksa !! 18 above , kuwa na mpenzi ni muhimu wa kubadilishana nawazo . Ulichofanya baadae utaanza kucheka mwenyewe bila sababu . Ingependeza kama ungesema umeacha kurukaruka na wengi na kuchagua mmoja . Mungu kaweka haya mambo ili ulimwengu uchangamke ! Pata utajiri wooote ila ukose sex utaona huna raha . Unaweza ila utakuwa na mapungufu kisaikologia . Kuna nesi alijifanya hapendi kabisa sex ila ana hasira hata sindano akichoma haiendi vizuri . Alipoona umuhimu wa mpenzi mambo yajanyooka na hasira ikatokomea . Nina uhakija utakuwa na tatizo ambalo hutaligundua , ukigundua utupe mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2019 ulivoanza nilijiwekea kamkataba kagumu kwamba nisigegede wala kufanya masturbation kwa Siku 100. Ni maamuzi magumu maan nguvu ninazo na sina tatizo lolote, Nimeamua kujitoa kwenye mahusiano kwa hizi siku 100 na kupotezea kabisa vitu vinavyochochea fikra za kingono.

Nipo Siku ya 22 nakaribia kumaliza mwezi sijagegeda ama kumasturbate. Wiki ya kwanza nilikuwa napata shida sana na kuna kipindi nilitaka niwashe gari.

Ex girlfriend wangu alipokuja kunisalimia na tukaanza kukumbatiana na kubusiana nilitaka kushawishika ila namshukuru Mungu hodi ilipigwa mlangoni ndio ilikuwa pona yangu.

Vitu navyo experience hadi sasa ni kwamba

1. Hali ya umakini katika utendaji wa kazi umeongezeka.

2. Kwa sasa hali ya kutunza kumbukumbu imeongezeka sana na nimetumia mwanya huu kuanza kujifunza lugha mpya.

3. Wanawake nimeanza kuwaona kama marafiki ama watu wa kupiga nao stori. Kabla ya hapo wanawake wengi niliokuwa nkikutana nao nlikua naongea nao kwa nia ya kuwagonga na kama wakikataa nilikua sioni umuhimu wa kuendelea kuwa rafiki zao. Kwa sasa nmepata marafiki wapya wa kike tunaongea kama marafiki tu japo kuna wengine nawachomolea wakianza mada za kuniharibia safari yangu.

4. Nimekuwa na Self control. Katika vitu vilivyokua vikinisumbua kucontrol ni ngono. Ngono ilikuwa inanitawala pindi navyopandwa na haja na kuniendesha akili. Kwa sasa nina furaha kwamba siendeshwi na ngono.

5.Roho yangu ina amani kwasababu nimepunguza idadi za dhambi: ni wazi kabisa watu wengi dhambi wanayongoza kuitenda ni kungonoka ukiachana na ngono iliyoruhusuwa kufanyika na wanandoa, pia katika dini ya kikristo kumwaga bao nje ya uke au kulikinga bao kwa condom ni dhambi na hata kumtamani mwanamke kingono ni uzinzi. Kwa kifupi dhambi zangu zimepungua sana kwasababu nimeachana na dhambi iliyokuwa naitenda sana.

6. Natumia muda na pesa vizuri. Kabla ya hii project nilipoteza muda mwingi na pesa ili kukidhi mahitaji yangu ya kufikicha. Nikikutana na mwanamke mwenye mapozi nilikuwa nahonga ili niweze kukidhi fasta hitaji langu la ngono na sometimes nlipoteza hela kijinga ili kununua vifurushi vya internet ili nicheki video za ngono, Muda pia nilipoteza sana katika kuhakikisha nakidhi mahitaji yangu ya ngono.

7. Nimeanza kusoma vitabu. Kuna muda nilikuwaga natumia kufuatilia vitu vya ngono. Sasa hivi huo muda nautumia kusoma vitabu. Jamani vitabu ni muhimu sana kuliko hata filamu.

8. Nguvu za mwili zimeongezeka. Huenda ikawa kwa sababu ngono ya mara kwa mara hudhoofisha mwili.

9. Natumia mda mchache kulala ili kuondoa uchovu, Naamka mapema nikiwa sina hata chembe ya uchovu...kabla ya hii safari nlikuwa nalala sana, nilikuwa naamka bilaa kuoenda kwasababu ya uchovu ...kwa sasa masaa sita yananitosha kabisa kuondoa uchovu tofauti na hapo nyuma nlipokua nalala siku ya jumamosi masaa nane ili niamke bila uchovu

10.Nimeongeza interaction na Jamii: Nlivyoanza hii safari nimeongeza kiwango cha kushiriki viwanja vya mazoezi, kanisani, kujumuika na vijana wenzangu kwenye vijiwe, n.k kabla ya hapo sikushiriki kikamilifu hizi shughuli kwasababu muda mwingi wa mapumziko ulitumika kutafta mademu, kufanya sex na hata nikawa nakatalia wageni kuja kwangu nlipokua nimeleta chombo ndani hio Siku,
mie ninamiezi 7 mzee sijafanya vitu hivyo
 
Kwa kweli acha hako kamchezo na uokoke ukiwa mlokole kuna faida nyingi sana muda ambao huna kazi utafikiria kanisa

Lakini angalia usije ukakubuhu kwenye ulokole maana kila kitu mwenzako akikifanya tofauti wewe utasema ni dhambi akiingia Instagram ni dhambi n.k
 
Chanzo kikubwa cha tamaa ya ngono ni macho mzee: The movies you watch, The music entertainment. Mimi nakushauri tu, TRAIN YOURSELF NOT TO LOOK....Anapita mdada na kinguo, don't look. Anakaa kihasara hasara, don't look. Sisi wanaume ni visualisers, ndivyo tulivyo aisee, tukishaona kitu basi kutoka kichwani ni ngumu mpaka tuchimbe zaidi.......

Good luck in this endeavour mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana mimi nilinunua miwani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom