Safari yangu ya leo, nimebahatika kukaa na Mrembo mwenye mshepu wake

Ni story ambayo soggy alitusimulia, ni story akikumbuka ye huwa analia ni story kuhusu yeye na binti flaniii walikutana kwenye gari wakiwa safarini....๐ŸŽถ๐ŸŽต๐ŸŽถ

BAK mpe mwamba dedikesheni, japo safari yake haina ishu kaishia tu kukaa na mwamba mwenzie anaekula mahindi njiani
 
Hahahaaaaaaa kwamba nimekaa na mwamba mla mahindi ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Dem mzuri anakulaje mahindi, ina maana kashindwa kununua hata eet-sum-mor ?? Huyo ni mwamba tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ungeongeza na maembe mle wote
 
Kama nakuona unavyokula mahindi
chewing-kangaroo (1).gif
 
Surya

Inaendelea.....

Basi bwana, baada tu ya kushuka hapo kumbe kuna jamaa walikaa siti ya nyuma na wao wakashuka, baada tu ya basi kuondoka jamaa wale wakanizingira na kuanza kunipiga vibao, huku wakisema kwa nini nashoboka shoboka na wanawake za watu, nadhani mmoja wao ana uhusiano wa kimapemzi na yule binti. Walikuwa wameenda hewani na wanaonekana watu wa mazoezi sasa na kamwili kangu haka ka vi-six pack sikuweza hata kujitetea. Nikasikia wanaambiana tumuingize vichakani tumshughulikie, kusikia hivyo nikaanza kipiga kelele za msaada lakini walinidhibiti kwa makofi na mitama ikabidi nikae kimya. Na eneo lenyewe tuliloshushiwa lilikuwa mbali na makazi ya watu. Basi bwana, waliponiburuzia kule vichakani unajua nini kilifuata? Ni aibu kusema lakini kwa machungu niliyonayo itabidi niiseme tu siri hii niliyoitunza zaidi ya mwaka. Jamaa walinibaka sanaaaa, yaani sana walinibaka kwa zamu mwanaume nikalegea kabisaaaa
Itaendelea......

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sigara pori hazina shida maana na mimi natumia,
nikuulize, hii story ni yako ama ni yangu?
 
  • Thanks
Reactions: ARV
Back
Top Bottom