Safari yangu ya kupunguza mwili kwa Kasi

maishapopote

JF-Expert Member
May 28, 2009
3,278
5,519
Wakuu nimeanza kupunguza mwili kwa urahisi sana...na mwili umeitika one week tu kwa kweli.

Nimepanga nifike kilo 100 by tarehe 11 november na ratiba yangu ni very simple.

Wiki 12 za mwanzo mpaka tarehe 1 june ninafanya intermediate fasting na maji mengi.

Hapa sili ugali wala wali..na sili mchana wala asubuhi..hapa wengi watanishambulia sana na jioni nakula ndizi mbili za kuchemsha na mboga yoyote ile

Asubuhi nakunywa maji 5-6 liters...hii hunifanya nijiskie nimeshiba kabisa...ikifika mchana nakula kitu simple labda biskuti au karanga au tunda na maji lita 2.

Jioni ndio nakula ndizi 2 ila mboga nabadilisha.

Kuanzia tarehe 1 june nitaendelea kufanya hivyo hivyo, kwa wiki 12 zingine but chakula cha jioni nitakula saa 12 hadi saa moja ( sa hv nakula usiku) ila hapa nitaanza mazoezi ya kutembea masaa 2 hadi matatu (fast pace)

Ikifika august after 12 weeks nitaanza Gym hapa ni mpaka november 11 na gym sitagusa chochote zaidi ya weightlifting...yaani ni bench press legs,biceps triceps na mengineyo...huku diet ikiwa kali zaidi.

Naamini nitakua nimefika malengo yangu niombeeni nipungue.

Hints: Nimeanza na 150kg

Ukipunguza mwili kuna watu wanakuchukia live na hukukatisha tamaa live live.

Maji yanasaidia sana kwenye hii process, wanga ni hatari sana

Suruali zote zimeniruka nisipovaa mkanda mashati nayo yamebaki machache inabidi ununue nguo mpya...

Nakaribisha maswali na ushauri povu pia linaruhusiwa, (constructive critisism)

Hii Formula nimeibuni mwenyewe so sijacopy mahali nimeona matokeo yake ndio maana nimeileta ukitaka ijaribu ni ngumu zile 4days za mwanzoni tu.

Karibuni
 
Nilishawahi kunywa juice ya Rosella, kila siku ml 500 kwa wiki moja ,kila mtu akaanza kunishangaa, mbona unapungua mbona unapungua, ikabidi niache kutumia. Baada ya kugoogle ndo nikagundua kumbe Rosella inasababisha kupungua uzito. Loh.

Waweza jaribu mzee.
 
Nitaiweka kwenye program.

Lakini wanasema sijui inaleta ugonjwa au kamba tu?
 
Ni vizuri kama umeamua kupunguza uzito kwasababu uzito mkubwa sio mzuri kiafya.
 
Ukisha fuata hiyo ratiba uliyojiwekea ukapungua unavyotaka utaachana na hiyo ratiba ya diet kwa hivyo itakuchukua muda mfupi tu kurudia uzito wako wa zamani

Siamini katika diet kwa sababu huwa inawachosha watu na kuamua kuachana nayo baada ya mda fulani

Mtindo wa maisha ndiyo huamua uwe na uzito gani,ukiwa na mtindo bora wa maisha uzito hauwezi kukusumbua

Kwa wenye uzito wa 100 kwenda mbele unaweza kunywa maji lita tano yana msaada pakubwa sana kucontrol uzito

Unawezaje kunywa maji haya bila shida
Unapokupo basi pembeni uwe una chupa ya maji kidogo kidogo tu lita tano siyo maji mengi

Usinywe soda, soda haina umuhimu wowote
Kunywa soda kadhaa kila siku ni tatizo

Kama utakunywa basi Kunywa kwa uchache sana kama ulikuwa unakunywa tatu kwa siku basi kunywa mbili kwa wiki au achana nazo kabisa
Instead ya kula supu kila siku kula maharage au vitu vingine punguza kula supu
Kama utakula basi kula siku chache tu

Usinywe pombe mara kwa mara usile Chipsi yai, kuku
Angalia vile unavoishi na upunguze mambo yasiyo ya msingi yanayoongeza uzito

Siku ambayo utakula sana vitu vingi visivyo na afya kama pombe nyingi mavyakula ya hovyo kama nilivyotaja hapo juu basi kesho yake andaa kama cocktail flani ya kuondoa huo uchafu mwilini uharishe hizo sumu na maisha yaendelee

Kama ni mwanaume chakata mbususu vizuri sana sioni ukibaki kuwa na uzito huohuo
Mabonge nadhani mnakuwa wavivu upande huo lakini inasaidia sana

Tunajua mtu asiye kula hukonda kwa sababu mwili huwa unafyonza virutubisho kutoka sehemu mbalimbali za mwili kukava kwenye uhitaji
Unapotoa ule mzigo katika sex lazima mchakato wa kurudisha palipotolewa ufanyike
Achana na habari za kamoja chali piga kamba tatu,nne kwa wiki alafu ulete mrejesho hayo ni mazoezi mara mbili

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ongezea na bangi kwenye hizo mboga mboga utakuja nishukuru!!
 
Maisha yangu yote uzito wangu ulikuwa kati ya 107kg na 102kg
Katikati hapo ilicheza according gym na diet tena kali

Mwaka 2021 katikati nikagundua dawa tena mwenyewe
1.Limao
2.Kufunga kula mwezi 1 kwa kila mwaka

Nilianza kutumia Limao kila asubuhi kabla ya kula chochote limao 1 nakamua juice kwenye maji ya vurugu kwa mwezi 1
2021 mwezi wa 12 yote nikafunga Kula mchana kwa uaminifu

Kufika 2022 mwezi wa 3 uzito wangu mpaka hii April 2023 uzito wangu upo kati ya 80kg na 85kg.
Kila mwaka sasa
Mwezi 1 Juice ya Limao na mwezi 1 kufunga kula
Baada ya program hizo kwa mwezi mara 1, naendelea kula kila kitu kwa fujo na raha zote

Changamoto
1.Watu kufikiri una ukimwi
2 baadhi kudhani umefulia
3.kila Kona ukupita watu wanakata shingo kukuangalia
4.Jiandae kubadilisha nguo zote za size ya mwili mpya
 
Wakuu nimeanza kupunguza mwili kwa urahisi sana...na mwili umeitika one week tu kwa kweli.

Nimepanga nifike kilo 100 by tarehe 11 november na ratiba yangu ni very simple.

Wiki 12 za mwanzo mpaka tarehe 1 june ninafanya intermediate fasting na maji mengi.

Hapa sili ugali wala wali..na sili mchana wala asubuhi..hapa wengi watanishambulia sana na jioni nakula ndizi mbili za kuchemsha na mboga yoyote ile

Asubuhi nakunywa maji 5-6 liters...hii hunifanya nijiskie nimeshiba kabisa...ikifika mchana nakula kitu simple labda biskuti au karanga au tunda na maji lita 2.

Jioni ndio nakula ndizi 2 ila mboga nabadilisha.

Kuanzia tarehe 1 june nitaendelea kufanya hivyo hivyo, kwa wiki 12 zingine but chakula cha jioni nitakula saa 12 hadi saa moja ( sa hv nakula usiku) ila hapa nitaanza mazoezi ya kutembea masaa 2 hadi matatu (fast pace)

Ikifika august after 12 weeks nitaanza Gym hapa ni mpaka november 11 na gym sitagusa chochote zaidi ya weightlifting...yaani ni bench press legs,biceps triceps na mengineyo...huku diet ikiwa kali zaidi.

Naamini nitakua nimefika malengo yangu niombeeni nipungue.

Hints: Nimeanza na 150kg

Ukipunguza mwili kuna watu wanakuchukia live na hukukatisha tamaa live live.

Maji yanasaidia sana kwenye hii process, wanga ni hatari sana

Suruali zote zimeniruka nisipovaa mkanda mashati nayo yamebaki machache inabidi ununue nguo mpya...

Nakaribisha maswali na ushauri povu pia linaruhusiwa, (constructive critisism)

Hii Formula nimeibuni mwenyewe so sijacopy mahali nimeona matokeo yake ndio maana nimeileta ukitaka ijaribu ni ngumu zile 4days za mwanzoni tu.

Karibuni
Kiuhalisia kwa sasa kuna formula za kisayansi kabisa ambazo zimeangalia mwili unatumia vp vyakula vya aina mbali mbali. Ili mwili uanze kutoa mafuta ya mwili... unatakiwa uzingatie yafuatayo

Mwili hutumia aina mbili za nishati katika mwili ili upate nguvu na joto..ambazo ni Uwanga (sukari au glucose) na ya pili ni nishati ya mafuta. Mwili hupendelea kutumia nishati ya uwanga kwanza na pale ikikosekana kwa muda ndipo mwili hutumia nishati ya mafuta na mafuta yakiisha hutumia protein ambapo mtu akifikia hatua ya kutumia protein kupata nguvu husinyaa km wale wasomali wa ktk tv walokosa kula.

Kwa uelewa huo sasa ili mafuta yatoke ktk mwili basi mwili unalazimika kuyatumia mafuta km nishati ya mwili. Na ili mafuta yatumike kama nishati basi lazima chakula cha uwanga kiwe kidogo cha kutotosheleza kuupa nguvu mwili. Na hapo ndipo mafuta yataanza kutumika kama chakula cha mwili na mwili ndio utaanza kupungua.

Uwanga tunauondoa vp?
Kwa kuutumikisha mwili kwa kazi na mazoezi mbali mbali na unapoisha na ukawa hujala tena basi mwili utaanza kutumia mafuta. Na njia nyengine ni kwa kufunga zaidi ya masaa 12 hupendekezwa masaa 16 ila maji unaweza kunywa muda wowote.
Kosa kubwa linalofanyika ni kwamba.. unautumikisha mwili ili kupunguza uwanga au sukari halafu ukimaliza tu unaenda kula uwanga huo huo. Je, mafuta yatatumika hapo?

Kwa mtu asiefanya mazoezi au kuutumikisha mwili huchukua masaa 8 mpk 12 ili mwili kumaliza kutumia uwanga uliokula kabla.

Formula ya kupunguza uzito ni hii

Tambua kwamba kupungua ni kutokula kwa muda mrefu ili mafuta yako yatumike kama chakula cha mwili. vile vile hutakiwi kukaa na njaa mana mwili utahisi kuna uhaba wa kupata chakula hivyo mwili utajibana kutumia nishati kikawaida na hautapungua kwa haraka.
Tatizo la njaa tunalikabili vp ili tuweze kukaa muda mrefu na kutohisi njaa kwa haraka?

Vipo vyakula ambavyo huchochea kupata njaa haraka ambavyo ni vyakula vya uwanga na sukari na vipo vyakula ambavyo huchelewesha kupata njaa haraka ambavyo ni vyakula vya protein ya asili na mafuta yake pamoja na vyakula vyote vyenye asili ya mafuta.

Vyakula vya uwanga ni kama nafaka zote, unga wa ngano, sukari, soda, ndizi, viazi, mihogo n.k

Vyakula vya protein na mafuta asili... ni karanga, parachichi,korosho lozi, vitoweo vya wanyama wote pamoja na vinavyotokana na wanyama kama maziwa mtindi siagi lazima ziwe safi za wanyama sio zilochakachuliwa viwandani kwa kupunguzwa mafuta na kutiwa sukari.

Uwanga ambayo huchelewesha kupata njaa haraka ni mboga mboga zote za majani. Na matunda yasokuwa na sukari kama matango n.k

Ukila vyakula vya aina hiyo na ukiuzowesha mwili wako kula vyakula hivyo... utajikuta unakaa muda mrefu bila ya kusikia njaa.

Hakikisha unakula ushibe ili usipate njaa haraka.

KUla pale unapopata njaa tu. km huna njaA usile mpk upate njaa tena hata kama asubuhi ukiamka beba chakula chako kwa baadae. Taarisha chakula chako mapema tu.

Mfano wa chakula zege la mayai 4 na kabichi(sio la viazi mbatata) na maziwa asili bila sukari au smooth ya parachichi maziwa...

Supu za kuku, ngombe mbuzi pamoja na saladi. Mboga ya nazi na michuzi ya mboga mboga kama nyanya, bamia na jamii zote za mboga mboga

Kwa kusoma zaidi mfatilie dr eric berg na dr boaz mkumbo youtube na facebook

NB... kuacha vyakula vya uwanga kwa siku za mwanzo ni kama kuacha madawa ya kulevya.. mwili unapata arosto kali kama hujazoea kufunga. Kwa siku za mwanzo mwanzo asubuhi..anza na maji ya supu yeyote yenye chumvi ya kawaida tu ya kuonjeka husaidia kupunguza arosto mpk utakapozoea mabadiliko ya vyakula

Trust me it works

All the best
 
Wakuu nimeanza kupunguza mwili kwa urahisi sana...na mwili umeitika one week tu kwa kweli.

Nimepanga nifike kilo 100 by tarehe 11 november na ratiba yangu ni very simple.

Wiki 12 za mwanzo mpaka tarehe 1 june ninafanya intermediate fasting na maji mengi.

Hapa sili ugali wala wali..na sili mchana wala asubuhi..hapa wengi watanishambulia sana na jioni nakula ndizi mbili za kuchemsha na mboga yoyote ile

Asubuhi nakunywa maji 5-6 liters...hii hunifanya nijiskie nimeshiba kabisa...ikifika mchana nakula kitu simple labda biskuti au karanga au tunda na maji lita 2.

Jioni ndio nakula ndizi 2 ila mboga nabadilisha.

Kuanzia tarehe 1 june nitaendelea kufanya hivyo hivyo, kwa wiki 12 zingine but chakula cha jioni nitakula saa 12 hadi saa moja ( sa hv nakula usiku) ila hapa nitaanza mazoezi ya kutembea masaa 2 hadi matatu (fast pace)

Ikifika august after 12 weeks nitaanza Gym hapa ni mpaka november 11 na gym sitagusa chochote zaidi ya weightlifting...yaani ni bench press legs,biceps triceps na mengineyo...huku diet ikiwa kali zaidi.

Naamini nitakua nimefika malengo yangu niombeeni nipungue.

Hints: Nimeanza na 150kg

Ukipunguza mwili kuna watu wanakuchukia live na hukukatisha tamaa live live.

Maji yanasaidia sana kwenye hii process, wanga ni hatari sana

Suruali zote zimeniruka nisipovaa mkanda mashati nayo yamebaki machache inabidi ununue nguo mpya...

Nakaribisha maswali na ushauri povu pia linaruhusiwa, (constructive critisism)

Hii Formula nimeibuni mwenyewe so sijacopy mahali nimeona matokeo yake ndio maana nimeileta ukitaka ijaribu ni ngumu zile 4days za mwanzoni tu.

Karibuni
Mrejesho mkuu
 
Hayo maji unayokunywa ni mengi sana kiafya. Utapoteza madini na vitamini nyingi sana na kuuweka uhai wako rehani.
 
Back
Top Bottom