Safari yangu na mke wa mtu

Ni story, kwahiyo anaandika kile anatamani.
Ila akili za hawa watu zikiamiaga chini ndio basi tena, kama ni mumeo mkistuka mmefilisika.
Kabisaaa! Mwanamke anaekutakia mema na anaejielewa hawezi ruhusu ucezee hela hivyo. Wanawake wanachangia kiasi kikubwa kudumaa kiuchumi kwa hawa viumbe. Unakuta mtu biashara yake ya kawaida tu ila anajipinda kumnunulia mdada nguo ya laki, sijui handbag ya 75 elfu!!! Ivi mbona kuna vitu vizuri vya kiwango chako???
 
Na wao kujitutumia kunawaponza sana, vitu viko nje ya uwezo wake why ajitutumue? Kutaka sifa tu, na mwanaume wa hivyo hata akiwa mumeo basi ujue una kazi kubwa mnoo ya kucontroll pesa za familia for the rest of yo life, lasivyo imekula kwenu.
 
Malaya mkubwa wewe,pumbavu.Utakufa kwa ukimwi,uzuri wa mkangazi ndani kipande cha mti.
 
Ila kunawatu wabunifu kwa story za kufikirika
 
Unamiaka mingapi? Utakuwa unasubiri matokeo wewe?
 
Mwenzio kaoa wewe unamuita fala?? Ahaaa kweli dunia haina huruma.

Genye bana ukute hizo sifa zote aliziona kwenye movie sasa anazifanyia kazi

anyway usisahau kondomu zile dawa za ukimwi walizosema ni tiba ulikuwa uzushi.
 
Wahaya ndio zenu uongo uongo tu nshomile wahed
umenichekesha niko na family friend Muhaya ni hodari wa kuongea anapenda kusifu siku akija home anapiga picha kila kona sasa hizo mbwembwe zake sijui hata anapata wapi maneno yakuongea hua nachekaaaaaaaaaaaa...
 
Ndio nini sasa[emoji31] [emoji31] hata hivyo nadedicate kwako wimbo wa LWP "Mke wa mtu sumu" hasa kale ka lyric chao kisemacho "utakuja ukojoe dagaa, hwaaaaaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Una kipaji kizuri cha kutunga hadithi, kamuone shigongo
 
Wet dream hizo mkuu naona umeamua kutuwekea mubashara mpk uliposhtuka
 
kwenye playlist yako hakukuwa na wimbo wa Ferouz- Starehe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…