Safari yangu kwa Bajaji Dsm - Iringa - Makambako - Songea - Dsm

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Mambo zenu humu ndani.

Waswahili husema "mkate kiboko yake chai".

Jana February 5, 2017 majira ya saa 12 jioni, nilifanikiwa kufika hapa Iringa kwa usafiri wa gari la miguu mitatu maarufu kama 'bajaji'. Dsm tulitoka saa 11:30 alfajiri.

Bajaji ilikuwa inatembea mbaya kabisa, ila maximum speed ni 80 km /hr na uzuri mwingine haipigwi tochi.Ni kupeta tu njia nzima, traffic hata hawakagui kama kuna viambata vyote kwenye bajaji. Mara nyingi sana, bajaji ilikuwa ina-overtake magari makubwa ya mizigo, tena mlimani!

Mlima mkali wa Kitonga tumeukata kama hatuna akili nzuri. Tatizo tu kabajaji ni kepesi kiasi, basi likipita kinayumba sana, ila dereva wangu namwamini.

Bajaji n usafiri mzuri sana, hauna taabu kabisa, na ni salama kuliko hata haya NGORIKA, CHAKITO...

Hapa tunataka kuelekea Makambako halafu Njombe, Songea mwisho tunarudi tena Dsm.

Bajaji acha iitwe bajaji tu
 
Mmetumia wese la kiasi gani
 
Back
Top Bottom