Safari ya wapi tena nyie??

Safari ya wapi tena nyie??

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
6.jpg
Si ninawauliza nyie mnakwenda wapi?????
Wengine mmetuvalia mayeboyebo, wengine makamongo, wengine chachacha??

 
Si jandoni,jandoni wanaume hawachanyikani na wanawake hata siku moja wakati wa kwenda jando na hayo si mavazi ya watu wanaokwenda jando.Wanasherekea hao kuzunguka boma.
 
Nao wabadilike, mila zingine acha nazo zingine zihifadhi. Haya ya makatambuga, kukeketa etc achana nayo. Nenda digitali
 
Back
Top Bottom