benteke
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 1,305
- 1,066
Weekend nilivuka (Chepuka) kwenda Vijibweni kama kaka Kaizer alivyonishauri. Pale getini fery kama ukiwa unaenda kwenye kile kimgahawa kwa nyuma ndiko niliko vikuta hivyo vitu. Nilivutiwa kwa sababu kila kijana aliyekua anapita nilimuona anainama anarusha coin alafu anaokota na kuendelea na safari, nikasema kwa nini nisijaribu na mimi.......Heh, ni balaa. Kaizer wanakusalimia sana wanasema siku hizi umepotea. Nilipata fursa ya kwenda mpaka kwenye daraja kwa kweli panavutia.