Safari ya Vijibweni: Nazi, Muhogo mbichi pamoja na karanga mbichi

Ngoja nikuulize benteke,

hicho ulichokitaja kinasaidia;

1. Kuongeza muda wa kugegedana bila kumwaga?

2. Wingi wa shahawa?

3. Uzito?

4. Nguvu za shahawa kurutubisha yai?

5. Uwezo wa kumwaga mara nyingi?


#tafadhali ...
 
Last edited by a moderator:
nazi ikisha kauka maji haiitwi tena nazi hua ni mbata mkuu...au Nazi ikichomwa kwenye jiko la mkaa pia huitwa mbata....Mbata kwa muhogo ni chakula maarufu sana kwa sisi watu wa Kusini unguja...
 
Weekend nilivuka ( Chepuka) kwenda Vijibweni kama kaka Kaizer alivyonishauri. pale getini fery kama ukiwa unaenda kwenye kile kimgawa kwa nyuma ndiko niliko vikuta hivyo vitu.........Nilivutiwa kwa sababu kila kijana aliyekua anapita nilimuona anainama anarusha coin alafu anaokota na kuendelea na safari......nikasema kwa nini nisijaribu na mimi.......Heh. ni balaa. Kaizer wanakusalimia sana wanasema siku hizi umepotea......nilipata fursa ya kwenda mpaka kwenye daraja kwa kweli panavutia.
naombeni kueleweshwa hapa sielewi chochote na nahisi kuna fumbo
 
Ngoja nikuulize benteke,

hicho ulichokitaja kinasaidia;

1. Kuongeza muda wa kugegedana bila kumwaga?

2. Wingi wa shahawa?

3. Uzito?

4. Nguvu za shahawa kurutubisha yai?

5. Uwezo wa kumwaga mara nyingi?


#tafadhali ...

Kaka[MENTION] Mentor[/MENTION] ukitoa namba moja na namba tatu vingine vyote vinahusika.
 
Mkuu nipe direction maana sijaelewa kidogo location .....nataka kutanga ubingwa mahali

Mkuu ni pale ferry ya kwenda Kigamboni....fanya kama unaenda chooni.....kuna wadada wamekaa chini njiani.....tenga kama buku tatu...unapita unamtupia unamwambia akuchanganyie vyote...unaenda chooni ukirudi mzigo ushafungwa unachukua unasepa.
 
Back
Top Bottom