Safari ya Vijibweni: Nazi, Muhogo mbichi pamoja na karanga mbichi

Kuuumbeee ..... ila yake original au update lazima

Ile ni kama computer lazima uifanyie update......la sivyo itakua very slow.......kama unataka kujaribu unakaribishwa. ili uone tofauti ya iliyo kuwa updated na ambayo haijawa.
 
Kuzunguka koooote kumbe messeji ndo hii,nimeelewa at last nakaa hukohuko ntajaribu.Umesema wiki mbili vile eeeh!!:smile-big:
Ni nazi sema huwa imekomaa kupitiliza...sasa ukitaka kujua balaa lake tumia kwa muda wa wiki mbili mvululizo then andaa pambano na kabla ya pambano hakikisha umekula vizuri.
 
Ndio nipo hapa ferry pembeni nakula karanga na vipande viwili vitatu vya mihogo.....i can feel its effect right away!
 
Wakuu mkuje pande hizi tujadili jambo hili, kwamba haina ubishi kuwa wanaume wa Dar es Salaam wanaongoza kwa kula MIHOGO MIBICHI NA KARANGA MBICHI. Swali ni kwa nini hawa wanaume wa Dar wanakula sana hii kitu? Au ni ushauri wa kitabibu?
 
Uwezo wa kupata shahawa zenye nguvu ya kurutubisha yai,shahawa nyingi na zenye nguvu hupatikana kwa:-

-kula vyakula vyenye virutubisho na hasa madini ya Zinc. Mengi yao hupatikana katika mafuta ya viumbe viishivyo baharini kama samaki,pweza n.k

Pia,hupatikana katika baadhi ya mazao ktk kundi la legumes mfano karanga lkn pia hupatikana ktk Nazi isiyopikwa,makoime,Tende mix na maziwa, asali,korosho n.k

Uwezo wa kufanya mapenzi muda mrefu (kusugua) ni suala la kisaikolojia japo pia mazoezi husaidia.

Pia Wamasai wana dawa halisi kabisa unayomix kwenye supu ya kongoro. Ila lazima wakupe ya kuharisha kwanza na ya kusafisha damu.

MENGINE NI MBWEMBWE ZA MJINI TU ZA MAMBO YA VIAGRA WATU WAPIGE PESA WASEPE.
 
Hapo umejiandaa kwa pambano la wiki mbili alafu 2 days before akasema atakuja inafika siku ya tukio ana safiri

Kuna ndugu yangu moja hivi yalimkuta hiyo
Alimpania dem wake ambae anaishi mkoa kajikoki mazee na karanga,supu ya mpweza na mazagazaga weeeee?
Acha demu wake azingue asije haahhaa jamaa alikoma aliteseka to the extent
 
Back
Top Bottom