Hapo ndio utajua nguvu ya mapenzi ni nini?utakuta mtu kaacha prado lake na kutumia usafiri huo,mwenzako mapenzi yamenipitisha milima ya SONI kuelekea Lushoto maeneo ya Lukozi bila woga
Kwetu Ambangulu ni Land Rover 109 ndio zinaenda,, ukija na LA vitz kako andika maumivu, gari itarudi ikiwa inalia kama brass band kila kitu kinatoa mlio wake wa tofauti