Jamani,
Mzee huyu wa Urambo anapokelewa kwa shangwe, kwa kitu gani hasa? Huyu si ametuhumiwa waziwazi ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya chama chake cha CCM kuwa, kwa vitendo vyake, anakisaliti chama hicho na akanusurika kung'olewa baada ya kuomba radhi? Sasa ndiyo anazidi kujichimbia kaburi la kisiasa. Si aliwahi kushindwa huyu Urambo mwaka 1995? Sasa, tangu 2005, amekuwa akijaribu kujijenga upya kisiasa, kuchukua ajenda ya "Ufisadi" imsaidie (kwa kushirikiana na timu yake ya Wabunge, wenye gele na usongo na UWAZIRI, inayoitwa "First Eleven": akina Dk. Mwakyembe, Ole Sendeka, Lucas Selelii, Anne Kilango,Stella Manyanya, Betrice Shelukindo n.k. anaowapangilia Bungeni). Lakini kumbe, kwa vile zote hizo ni hila, sasa ameshitukiwa na Chama chake. Hii kwamba anapokewa kwa shangwe ni propaganda tu za kujaribu kumvika nguo!
LAKINI, kama nilivyowahi kueleza hapo awali, mahali pengine humu katika JF, tatizo la mzee huyu la fitina na usaliti wa kisiasa, halikuanza leo! Katika miaka ya mwanzoni ya 1990, akiwa Waziri wa Sheria (na baadaye akaondolewa, baada ya kushindwa Ubunge wa Urambo), alishiriki "kiujanjaujanja" katika hoja ya kutaka kuleta Serikali ya Tanganyika katika mfumo wa Muungano, ili uwe wa Serikali Tatu badala ya Mbili.
Katika kitabu chake, UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA. Uk. wa 20 hadi Uk. 27, Mwalimu Nyerere alimsema vibaya sana Sitta, kwa kupeleka mbele ya Halmashauri Kuu ya CCM, Dodoma, "TAARIFA YA SERIKALI JUU YA AZIMIO LA BUNGE KUHUSU HAJA YA KUUNDA SERIKALI YA TANGANYIKA NDANI YA MUUNDO WA MUUNGANO". Mwalimu Nyerere alisema, kuhusu taarifa hiyo, katika kijitabu hicho: "Taarifa yenyewe ni ndefu, maana ina maelezo mengi ya mapambo tu, au ya kiinimacho(Uk. 20)...Baadaye, baada ya kikao, nilimtafuta Ndugu Sitta, nikampa pole kwa kupewa jukumu la kueleza jambo ambalo halielezeki (Uk. 27)...". Huyo ndiyo Spika Sitta, mbele ya macho na fikra za Mwalimu Nyerere! Hivi ni mpiganaji kweli wa vita dhidi ya "Ufisadi", au ni msaliti tu wa Chama chake? Wana-CCM na msio wana-CCM na ni Watanzania tu wenye nia njema, pimeni!
Bwassa
B wassa ...............Lwassa kazi kweli kweli vita kubwa
Time your exit properly and join genuine intrepid democratic patriots.
Katika kile kinachoonekana kutofautiana na maamuzi ya NEC, baadhi ya wapambe wa Mh SS wanaoshi katika jimbo la Urambo wanafanya maandalizi makubwa ya kumpokea Mh SS kwa maandamano makubwa ikiwa ni pamoja na kukodi piki piki zote za kibiashara katika mji wa urambo, aidha mapokezi hayo ya aina yake yatafanyika katika kijiji cha Ndorobo nje kidogo ya mji wa Urambo na kwa kiasi kikubwa maandalizi yote yamekamilika chini ya uongozi wa Bwana Welly aliyekuwa katibu uchumi na fedha wilaya ya urambo na Katibu mhamasishaji wa vijana mkoa wa Tabora kwa mwaka 2003-2004. wakati huo huo taarifa nilizopata muda si mrefu kutoka kwa wadau wa siasa wa mji wa Tabora
ni kwamba maandalizi kama hayo pioa yanafanyika Tabora mjini chini ya katibu wa siasa na uenezi wa CCM wa Tabora mjini bwana Rashid Ramadhani Tall. kila la kheri Spika tunakusubiri kwa hamu Tabora na mapokezi ya nguvu!
Jamani,
Mzee huyu wa Urambo anapokelewa kwa shangwe, kwa kitu gani hasa? Huyu si ametuhumiwa waziwazi ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya chama chake cha CCM kuwa, kwa vitendo vyake, anakisaliti chama hicho na akanusurika kung'olewa baada ya kuomba radhi? Sasa ndiyo anazidi kujichimbia kaburi la kisiasa. Si aliwahi kushindwa huyu Urambo mwaka 1995? Sasa, tangu 2005, amekuwa akijaribu kujijenga upya kisiasa, kuchukua ajenda ya "Ufisadi" imsaidie (kwa kushirikiana na timu yake ya Wabunge, wenye gele na usongo na UWAZIRI, inayoitwa "First Eleven": akina Dk. Mwakyembe, Ole Sendeka, Lucas Selelii, Anne Kilango,Stella Manyanya, Betrice Shelukindo n.k. anaowapangilia Bungeni). Lakini kumbe, kwa vile zote hizo ni hila, sasa ameshitukiwa na Chama chake. Hii kwamba anapokewa kwa shangwe ni propaganda tu za kujaribu kumvika nguo!
LAKINI, kama nilivyowahi kueleza hapo awali, mahali pengine humu katika JF, tatizo la mzee huyu la fitina na usaliti wa kisiasa, halikuanza leo! Katika miaka ya mwanzoni ya 1990, akiwa Waziri wa Sheria (na baadaye akaondolewa, baada ya kushindwa Ubunge wa Urambo), alishiriki "kiujanjaujanja" katika hoja ya kutaka kuleta Serikali ya Tanganyika katika mfumo wa Muungano, ili uwe wa Serikali Tatu badala ya Mbili.
Katika kitabu chake, UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA. Uk. wa 20 hadi Uk. 27, Mwalimu Nyerere alimsema vibaya sana Sitta, kwa kupeleka mbele ya Halmashauri Kuu ya CCM, Dodoma, "TAARIFA YA SERIKALI JUU YA AZIMIO LA BUNGE KUHUSU HAJA YA KUUNDA SERIKALI YA TANGANYIKA NDANI YA MUUNDO WA MUUNGANO". Mwalimu Nyerere alisema, kuhusu taarifa hiyo, katika kijitabu hicho: "Taarifa yenyewe ni ndefu, maana ina maelezo mengi ya mapambo tu, au ya kiinimacho(Uk. 20)...Baadaye, baada ya kikao, nilimtafuta Ndugu Sitta, nikampa pole kwa kupewa jukumu la kueleza jambo ambalo halielezeki (Uk. 27)...". Huyo ndiyo Spika Sitta, mbele ya macho na fikra za Mwalimu Nyerere! Hivi ni mpiganaji kweli wa vita dhidi ya "Ufisadi", au ni msaliti tu wa Chama chake? Wana-CCM na msio wana-CCM na ni Watanzania tu wenye nia njema, pimeni!
Bwassa
Bwassa has no status.
Member
Join Date: Tue Jun 2009
Posts: 13
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 0
JF imevamiwa, tehehee

watanzaniatehe tehe tehe mitanzania bana.......sijui niipe jina gani.....
Hata humu JF, mtu akipewa ban na Mods, inashangaza pale atakaporudi anaanzishiwa thread ya kukaribishwa na kupewa pole kuashiria kwamba alionewa. Huenda hii ni nature fulani ya kibinadamu, au ya kundi fulani la jamii, kwani hapa wanaomkaribisha 'the banned member' ni 'Great Thinkers', kwa hiyo hatuna sababu ya kuwalaumu 'wasio' Great Thinkers huko majimboni!!Kumbe kila ukitofautiana na kundi fulani, unapokelewa kwa shangwe jimboni? AC, EL, Dr Harison, na sasa inafuata 6 !! Kwa nini watanzania tunapenda sherehe bila kuangalia tunachoshabikia ni nini?
Jamani,
Mzee huyu wa Urambo anapokelewa kwa shangwe, kwa kitu gani hasa? Huyu si ametuhumiwa waziwazi ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya chama chake cha CCM kuwa, kwa vitendo vyake, anakisaliti chama hicho na akanusurika kung'olewa baada ya kuomba radhi? Sasa ndiyo anazidi kujichimbia kaburi la kisiasa. Si aliwahi kushindwa huyu Urambo mwaka 1995? Sasa, tangu 2005, amekuwa akijaribu kujijenga upya kisiasa, kuchukua ajenda ya "Ufisadi" imsaidie (kwa kushirikiana na timu yake ya Wabunge, wenye gele na usongo na UWAZIRI, inayoitwa "First Eleven": akina Dk. Mwakyembe, Ole Sendeka, Lucas Selelii, Anne Kilango,Stella Manyanya, Betrice Shelukindo n.k. anaowapangilia Bungeni). Lakini kumbe, kwa vile zote hizo ni hila, sasa ameshitukiwa na Chama chake. Hii kwamba anapokewa kwa shangwe ni propaganda tu za kujaribu kumvika nguo!
LAKINI, kama nilivyowahi kueleza hapo awali, mahali pengine humu katika JF, tatizo la mzee huyu la fitina na usaliti wa kisiasa, halikuanza leo! Katika miaka ya mwanzoni ya 1990, akiwa Waziri wa Sheria (na baadaye akaondolewa, baada ya kushindwa Ubunge wa Urambo), alishiriki "kiujanjaujanja" katika hoja ya kutaka kuleta Serikali ya Tanganyika katika mfumo wa Muungano, ili uwe wa Serikali Tatu badala ya Mbili.
Katika kitabu chake, UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA. Uk. wa 20 hadi Uk. 27, Mwalimu Nyerere alimsema vibaya sana Sitta, kwa kupeleka mbele ya Halmashauri Kuu ya CCM, Dodoma, "TAARIFA YA SERIKALI JUU YA AZIMIO LA BUNGE KUHUSU HAJA YA KUUNDA SERIKALI YA TANGANYIKA NDANI YA MUUNDO WA MUUNGANO". Mwalimu Nyerere alisema, kuhusu taarifa hiyo, katika kijitabu hicho: "Taarifa yenyewe ni ndefu, maana ina maelezo mengi ya mapambo tu, au ya kiinimacho(Uk. 20)...Baadaye, baada ya kikao, nilimtafuta Ndugu Sitta, nikampa pole kwa kupewa jukumu la kueleza jambo ambalo halielezeki (Uk. 27)...". Huyo ndiyo Spika Sitta, mbele ya macho na fikra za Mwalimu Nyerere! Hivi ni mpiganaji kweli wa vita dhidi ya "Ufisadi", au ni msaliti tu wa Chama chake? Wana-CCM na msio wana-CCM na ni Watanzania tu wenye nia njema, pimeni!
Bwassa
Nakuunga mkono kaka, najua six si malaika na katika ubinadamu wake lazima ana mapungufu. Ni wajibu wetu kumsahihisha. Lakini basi kuna sababu gani ya msingi ya kupuuza hata mazuri anayofanya? Vyovyote iwavyo kitendo cha kujaribu kuipelekesha serikali tena ya chama chake ni cha kishujaa sio cha kupuuzwa. Anachohitaji cx sasa ni kuungwa mkono na sio kukatishwa tamaa. Hekooo mheshimiwa cx kaza buti twende mbele tuwatoe mbio mafisadi.kazi ya kuupinga ufisadi ni kubwa sana ndugu zangu,hata mananchi wa kawaida mnanunuliwa japo hamjapewa hela? sasa lipi la kushangaa six kupokelewa kwao kwa shangwe?of course amethubutu kuwatikisa mafisadi, sioni shida, mbona usishangae mijitu inayokula hela za nchi kujinufaisha? hao wote hapo juu wanaomsuta six ni wapambe wa RA na EL mnajulikana sana.Sita km binadamu lazma awe na mapungufu who doesnt?muhimu ni kuwa ana mwelekeo gani basi.Mafisadi tutawamaliza tuu, kwa keyboard na kura zetu, maibilisi wakubwa nyie!!
Jamani,
Mzee huyu wa Urambo anapokelewa kwa shangwe, kwa kitu gani hasa? Huyu si ametuhumiwa waziwazi ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya chama chake cha CCM kuwa, kwa vitendo vyake, anakisaliti chama hicho na akanusurika kung'olewa baada ya kuomba radhi? Sasa ndiyo anazidi kujichimbia kaburi la kisiasa. Si aliwahi kushindwa huyu Urambo mwaka 1995? Sasa, tangu 2005, amekuwa akijaribu kujijenga upya kisiasa, kuchukua ajenda ya "Ufisadi" imsaidie (kwa kushirikiana na timu yake ya Wabunge, wenye gele na usongo na UWAZIRI, inayoitwa "First Eleven": akina Dk. Mwakyembe, Ole Sendeka, Lucas Selelii, Anne Kilango,Stella Manyanya, Betrice Shelukindo n.k. anaowapangilia Bungeni). Lakini kumbe, kwa vile zote hizo ni hila, sasa ameshitukiwa na Chama chake. Hii kwamba anapokewa kwa shangwe ni propaganda tu za kujaribu kumvika nguo!
LAKINI, kama nilivyowahi kueleza hapo awali, mahali pengine humu katika JF, tatizo la mzee huyu la fitina na usaliti wa kisiasa, halikuanza leo! Katika miaka ya mwanzoni ya 1990, akiwa Waziri wa Sheria (na baadaye akaondolewa, baada ya kushindwa Ubunge wa Urambo), alishiriki "kiujanjaujanja" katika hoja ya kutaka kuleta Serikali ya Tanganyika katika mfumo wa Muungano, ili uwe wa Serikali Tatu badala ya Mbili.
Katika kitabu chake, UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA. Uk. wa 20 hadi Uk. 27, Mwalimu Nyerere alimsema vibaya sana Sitta, kwa kupeleka mbele ya Halmashauri Kuu ya CCM, Dodoma, "TAARIFA YA SERIKALI JUU YA AZIMIO LA BUNGE KUHUSU HAJA YA KUUNDA SERIKALI YA TANGANYIKA NDANI YA MUUNDO WA MUUNGANO". Mwalimu Nyerere alisema, kuhusu taarifa hiyo, katika kijitabu hicho: "Taarifa yenyewe ni ndefu, maana ina maelezo mengi ya mapambo tu, au ya kiinimacho(Uk. 20)...Baadaye, baada ya kikao, nilimtafuta Ndugu Sitta, nikampa pole kwa kupewa jukumu la kueleza jambo ambalo halielezeki (Uk. 27)...". Huyo ndiyo Spika Sitta, mbele ya macho na fikra za Mwalimu Nyerere! Hivi ni mpiganaji kweli wa vita dhidi ya "Ufisadi", au ni msaliti tu wa Chama chake? Wana-CCM na msio wana-CCM na ni Watanzania tu wenye nia njema, pimeni!
Bwassa
Mugo"The Great";557935 said:Huyu Bwana Welly naona anataka kujipalia mkaa. Kuna wakati yeye na Brother wake waliwahi kutishwa kuwa sio raia baada ya kutoonyesha mapenzi mema kwa sisiemu. Kwa vile ameamua kusigana na NECK ambayo inabeba HEAD(Fisadis) ya sisiemu basi awe tayari kwa Mapambano from RA et al.