Hahaha jamani,Umepanda tavavili au baraka classic?
Siku ukipanda ya kigoma utafungua nyuz buku. Watu wa kule siti 1 wanapakatana ukoo mzma, wanavyungu vya ugali. Ukifka nguruka wananua ugali aka lwome na samak wa malagarasi wanaanza kufakamia kama wapo hh. Wanakatiana vichwa vya samak wanapeana.
Wanatafuna huku wanabishana, wanatafuna na kuachama na vyakula mdomon na ugoro na mipombe
Noma.
Na mimi nilifikia huko aiseHahaha jamani,
Yaan simulia yako imenipa picha moja matata Kama na check movie!!
Saaaana mkuu,viko unique.Una experience ya vi ushuzi vya wadada mkuu
Kwanza hao wangoni,Wasukuma na waha ni wachafuNimepanda basi la Songea. Ni New force linapitia mikoa ya kusini.
Kilichonishangaza nikuona abiria wenzangu karibia 10 wamenunua maembe pale Mbagara na kuanza kuyafakamia.
Huyu dada niliekaa nae pamoja na kuwa sista duu nae yuko bize na maembe yake kutafuna na kutema maganda nje ya kioo. Nyie wangoni kwani huko Songea hakuna maembe? Halafu hii tabia ya kula vyakula hovyohovyo mbona kama imekaa kishamba sana?
Kama ni njaa, maembe yanatibu njaa? Kwanini usivumilie mpaka Nangurukuru kwenye restaurant ukapate breakfast.
Nimesafiri sana na mabasi ya kaskazini, Iringa, mpaka Mwanza sikuwahi kuona abiria wakila maembe tena kwa kung'ata na meno ndani ya usafiri wa umma.
Kung'ata na menoNimepanda basi la Songea. Ni New force linapitia mikoa ya kusini.
Kilichonishangaza nikuona abiria wenzangu karibia 10 wamenunua maembe pale Mbagara na kuanza kuyafakamia.
Huyu dada niliekaa nae pamoja na kuwa sista duu nae yuko bize na maembe yake kutafuna na kutema maganda nje ya kioo. Nyie wangoni kwani huko Songea hakuna maembe? Halafu hii tabia ya kula vyakula hovyohovyo mbona kama imekaa kishamba sana?
Kama ni njaa, maembe yanatibu njaa? Kwanini usivumilie mpaka Nangurukuru kwenye restaurant ukapate breakfast.
Nimesafiri sana na mabasi ya kaskazini, Iringa, mpaka Mwanza sikuwahi kuona abiria wakila maembe tena kwa kung'ata na meno ndani ya usafiri wa umma.
Uliwapa hela au wanatumia hela zao?Nimepanda basi la Songea. Ni New force linapitia mikoa ya kusini.
Kilichonishangaza nikuona abiria wenzangu karibia 10 wamenunua maembe pale Mbagara na kuanza kuyafakamia.
Huyu dada niliekaa nae pamoja na kuwa sista duu nae yuko bize na maembe yake kutafuna na kutema maganda nje ya kioo. Nyie wangoni kwani huko Songea hakuna maembe? Halafu hii tabia ya kula vyakula hovyohovyo mbona kama imekaa kishamba sana?
Kama ni njaa, maembe yanatibu njaa? Kwanini usivumilie mpaka Nangurukuru kwenye restaurant ukapate breakfast.
Nimesafiri sana na mabasi ya kaskazini, Iringa, mpaka Mwanza sikuwahi kuona abiria wakila maembe tena kwa kung'ata na meno ndani ya usafiri wa umma.
Masasi townHiyo njia ina Majabari ya hatari hiyo miamba nakwambia Mwanza ikasome. Masasi to Tunduru hadi Songea mwendo wa kupishana na MALORI YA MAKAA YA MAWE KILA KILOMITA Kadhaa mlori huu hapa.
Yani unampangia mtu bajeti kheeeNimepanda basi la Songea. Ni New force linapitia mikoa ya kusini.
Kilichonishangaza nikuona abiria wenzangu karibia 10 wamenunua maembe pale Mbagara na kuanza kuyafakamia.
Huyu dada niliekaa nae pamoja na kuwa sista duu nae yuko bize na maembe yake kutafuna na kutema maganda nje ya kioo. Nyie wangoni kwani huko Songea hakuna maembe? Halafu hii tabia ya kula vyakula hovyohovyo mbona kama imekaa kishamba sana?
Kama ni njaa, maembe yanatibu njaa? Kwanini usivumilie mpaka Nangurukuru kwenye restaurant ukapate breakfast.
Nimesafiri sana na mabasi ya kaskazini, Iringa, mpaka Mwanza sikuwahi kuona abiria wakila maembe tena kwa kung'ata na meno ndani ya usafiri wa umma.
Dagaa wapo na bei juu utapata wa kutafuna tu,sema kama unataka maharage mabichi nikupasie.Nipo town songea,fanya mpango wa dagaa wa nyasa
Ndiyo maana siipendi hiyo njia,hasa kwa usiku si salama,malori ya makaa yanaserereka tu.Hiyo njia ina Majabari ya hatari hiyo miamba nakwambia Mwanza ikasome. Masasi to Tunduru hadi Songea mwendo wa kupishana na MALORI YA MAKAA YA MAWE KILA KILOMITA Kadhaa mlori huu hapa.
Nataka pia hayoDagaa wapo na bei juu utapata wa kutafuna tu,sema kama unataka maharage mabichi nikupasie.
Usipo Kuwa na pesa shida Kila anacho kufanya mwenzako niushambaNimepanda basi la Songea. Ni New force linapitia mikoa ya kusini.