Safari ya RWANDA...

aliye mwembamba basi kimodo cha ukweh kama bi Asnam.
ujue Mentor tunatafutana ugomvi,mtu mzima na kitambi changu kuniweka group la hawa pipo,excuse me!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
 

I do believe Hon Uhuru Kenya will show the rest of East Africa (excluding Rwanda) how government expenditure should controlled
 
Very good story ingawa imebeba mada zaidi ya moja! Natamani Mr. President angeisoma hii!
 
Very good story ingawa imebeba mada zaidi ya moja! Natamani Mr. President angeisoma hii!

Basi tufanye Cc: Ritz, Chris Lukosi, Salary Slip , Pasco, musakibabu, Dr.Godbless , Lole Gwakisa, Zitto, na wadau wote wa jukwaa la siasa...SOMENI HADITHI HII.

I do believe Hon Uhuru Kenya will show the rest of East Africa (excluding Rwanda) how government expenditure should controlled

Umeshasikiliza hoja zake mkuu au umesema kimapenzi tu? lets give him time...kwa mahali ambapo Kenya imefika akikaza buti it will be the Hub of African Technology!!!


Unanifanya nilie brother Lyagwa...unanifanya nilie ujue...machozi yananitoka kwa nini viongozi wetu hawalioni hili..why? why? why?:crying::crying::crying:
 
Last edited by a moderator:
Hii hadithi ni nzuri lakini naomba nikuambie kitu kimoja
Ulinzi na usalama wa viongozi wetu ni muhimu na hao wa rwanda unawaona wanajiachia hivyo ni kwa sababu wameisha uana sana mpaka wamechoka kuua hivyo kwa sasa wanaishi kwa kuheshimiana kwa sababu ya kuogopa kurudia yalioyotokea lakini asikudanganye mtu. Chuki waliyo nayo bado ipo ila wanajitahidi kuidhibiti tu.
Leo hii IGP akiuawa na majambazi utakuwa ni uzembe wa hali ya juu kushindwa kutoa ulinzi kwa mkuu wa polisi.
Hiyo system ya rwanda kwetu haitufai hata kidogo, usalama wa viongozi wetu ni muhimu sana.
Kuhusu magari makubwa naunga hoja lakini magari yanayoweza kufika kila kona yanchi ni yale makubwa 4x4 ambayo ni bei, labda tunge badili kwa viongozi wa mijini watumie gari za kawaida kama saloon cars na hata kama ni 4x4 ziwe less cost vehicles kama suzuki, toyota rav 4 , nk
Hayo ya nyumba ndogo ni personal life ya mtu mie sipendio hiyo tabia lakini sidhani kama ni vyema kujadili personal lifes za watu, kama wewe hujawahi kuitenda hiyo dhambi basi na uwe wa kwanza kurusha jiwe!
 
Reactions: BAK

unaboa kwa pumba zako humu ndani,.
 

Sidhani kama reasoning yako ni sawa na ya kwao juu ya usalama/ulinzi anaotakiwa kupewa IGP. Na kama wangefikiria kama wewe basi kila waziri, mbunge, naibu, etc etc angekuwa na body guards kwa kisingizio cha umuhimu wao katika jamii going back to the Tanzanian problem.

Nachelea kufananisha na nyumba ambayo baba ameweka mbwa wakali getini na teknolojia hi-tech za ulinzi getini halafu akaenda mbali zaidi - kwa kuwa ni baba - akaweka tena alarm system kwenye mlango wa kuingia chumbani kwake pekee.

Bwana Chris Lukosi, huoni hiyo itakuwa double standards? How better is he than any other common man? I think hiyo amepewa kama challenge kuhakikisha kuwa hali ya ulinzi na usalama wa raia, mali na nchi kwa ujumla ni nzuri na kwamba kila raia anaweza kutembea huru na kwa amani bila ya kuwa na wasiwasi wa kudhuriwa.

Again, Kitu nilichojifunza ni askari polisi wa Rwanda wanaheshimiwa na kuthaminiwa sana na serikali. Hapa pia nashawishika kuwafananisha na mtu anayefuga mbwa kwa ajili ya ulinzi. Anawalisha vizuri, anahakikisha wanaishi sehemu nzuri, vitoto vyao vinapata maziwa na wao wanalishwa katika MUDA unaostahili. Mtu huyu hahitaji kuweka alarm system mlangoni pake tena kwani atakuwa na uhakika wa kupata ulinzi kamili kutoka kwa mbwa wake.

Bila kusahau, kwa kuwa government expenditure ziko low, wanapata enough cash ya kuhakikisha magari ya Polisi yako full time fueled..doria ni kila wakati yani hadi raha...! sasa huyo hayawani atakayediriki ku-sucrifice maisha yake kiasi hicho basi hata huyo IGP akipewa Platoon nzima ya bodyguards hatoshindwa kumdhuru!

Natumai kwa kuwa u-great thinker utakuwa umenielewa vyema...
 
Last edited by a moderator:
unaboa kwa pumba zako humu ndani,.

Hichi ndicho kitu siasa za Tanzania zinaponiudhi.

Kwa kuwa tu mtu yupo chama tofauti na chako basi ni mpuuzi. Kwanini tusifanye kama Democrats na Republicans? Wakiwa kwenye campaigns wote wanabeba bendera za nchi..wakibishana wanabishania sera na sio mtu binafsi..anyway hiyo ni topic ya wanasiasa. (Napenda sana siasa ila nachukia uvyama..naogopa nikiandika ntaishia kupandwa hasira tu)

Huu ni mtazamo wake (ambao hata mimi siungani nao ila siwezi kuuita pumba), wa kwako ni upi ndugu?

 
Hahaha babu
Asprin, ruksa granted bwana Mheshimiwa waziri..i
know dereva wako Mtambuzi alikokupitisha na
mimi nilikuwa na bosi wangu Ruttashobolwa kule
NCHI IMEUZWA BAR ndo namrudisha kwa Passion
Lady
wake.

Habari inafikirisha kwa kweli thank you kijana wangu Mentor kwa ku take time nakusimulia hii habari ambayo inaachatafakuri kwa kila atakayesoma.
kuna mengi ya kujifunza kupitia habari hii, natamani kama ingewekwa jukwaa la siasa ili ichangiwe na wadau wengi na kuweka mitazamo yao ya nini kifanyike kuhusu matumizi ya serikali yetu.
once again thank you Mentor
 
Last edited by a moderator:
Unanifanya nilie brother Lyagwa...unanifanya nilie ujue...machozi yananitoka kwa nini viongozi wetu hawalioni hili..why? why? why?:crying::crying::crying:[/QUOTE]

Sorry kwa kukufikisha huko sio lengo langu.

Mwanaume huwa halii kwa machozi kama unavyotaka kufanya (hii ni kwa mjibu wangu la kwa kabila langu pia).

Haya yote yana mwisho mkuu hata kama ni baada ya kizazi kingine, japo watatucheka sana wakati huo, kama leo tunavyokumbuka akina chief Mangungu na wengine.
 
pole we utakufa kwa presha yaache kama yalivyo cha msingi uwe unamfungashia ndom unampa dereva kabisa ili anapoenda kuunganisha mitambo aiset vizuri.

hahaa! Asnam
abiria chunga mzigo
wako mi sikubali!

 
Last edited by a moderator:

Cc: Invisible na Paw


do you mean hali haiwezi kubadilika katika kizazi hiki cha sasa??!
 
Last edited by a moderator:
do you mean hali haiwezi kubadilika katika kizazi hiki cha sasa??![/QUOTE]

Inawezekana lakini kwa kutumia uongozi tofauti na huu wa serikali ya CCM, na hata serikali mbadala ya chama tofauti itatuchukuwa muda maana mentality za watendaji wetu sasa ni mgando sana kuzibadilisha inahitaji shughuri pevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…