SAFARI YA MWISHO YA Ariel Sharon

SAFARI YA MWISHO YA Ariel Sharon

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
article-2538476-1AA0417B00000578-689_964x609.jpg
article-2538476-1A9F9BC000000578-662_964x629.jpg
article-2538476-1AA1D1A200000578-201_964x639.jpg
article-2538476-1AA1C2F900000578-229_964x796.jpg
article-2538476-1AA1D35E00000578-47_964x691.jpg
article-2538476-1AA1BB2300000578-196_964x687.jpg
article-2538476-1AA1BAB300000578-817_964x862.jpg
article-2538476-1A9EC25A00000578-408_964x921.jpg
article-2538476-1A9EE49400000578-490_964x625.jpg
article-2538476-1A9FD6DC00000578-411_964x681.jpg
article-2538476-1A9ED30800000578-767_964x684.jpg
article-2538476-1A9EC8D900000578-602_964x633.jpg
article-2538476-1A9EE6D300000578-933_964x635.jpg
article-2538476-1A9FDA1300000578-712_964x843.jpg
article-2538476-1A9FBA2A00000578-112_964x663.jpg
article-2538053-1A98254500000578-126_964x642.jpg
article-2538053-1A97A2ED00000578-433_964x643.jpg
article-2538053-1A980AB500000578-688_964x642.jpg
article-2538053-1A98080F00000578-641_964x723.jpg
 
Mwamba wa miamba huyo, Tz haijatuma,mwakilishi !? Rais wetu au kaenda mwenyewe
 
Gaidi no 1 huyo,Jehanamu makazi yake ya kudumu!!!huo ni mzoga tuu wa liguruwe
 
Alipochaguliwa kuwa waziri mkuu alienda kuhiji kwenye eneo lenye utata kuonesha kuwa no matter what eneo hilo ni la waisrael...machafuko yalizuka sana baadza ya tukio hilo.
RIP kamanda!
 
Rest in Hell Ariel Sharon (R.I.H).
Sheikh Huyu aliuliwa na ariel sharon, laana yake sharon alikua nusu mfu kwa miaka nane. Alikua Duniani hayuko na Akhera hayuko, alikua katikati ya Adhabu.

DEC41A283D.jpg

Sheik Ahmed Yassin.


 
Mwamba wa miamba huyo, Tz haijatuma,mwakilishi !? Rais wetu au kaenda mwenyewe
wahudhuriaji 21 wa nje wengi walitoka europe.

Middle east,Africa na Latin america hakuna mtu aliyewakilisha.
 
Rest in Hell Ariel Sharon (R.I.H).
Sheikh Huyu aliuliwa na ariel sharon, laana yake sharon alikua nusu mfu kwa miaka nane. Alikua Duniani hayuko na Akhera hayuko, alikua katikati ya Adhabu.

DEC41A283D.jpg

Sheik Ahmed Yassin.



Kama alikua anafujo kama za gaidi Ponda kwanini asiuwawe? PIGA TU
 
hizo picha za magaidi sizipendi

Hata Mandela alikua Gaidi na akafungwa Miaka 27. Kwa hiyo wanaojifurahisha kwa kuita wenzao Magaidi, Hua wao ndio Magaidi haswa.
 
Rest in Hell Ariel Sharon (R.I.H).
Sheikh Huyu aliuliwa na ariel sharon, laana yake sharon alikua nusu mfu kwa miaka nane. Alikua Duniani hayuko na Akhera hayuko, alikua katikati ya Adhabu.

DEC41A283D.jpg

Sheik Ahmed Yassin.



Amín na iwe kama ulivyosema
 
Back
Top Bottom