Originally Posted by
mtanzaniaasili
JK Rais kipenzi cha watu, ametenda mambo mengi katika miaka mitano iliyopita, kupambana na rushwa na ufisadi ni mengi kati ya mengi, ujenzi wa shule za sekondari,vyuo vikuu, barabara za lami, changarawe, ameimarisha demokrasia, utawala bora ndo usiseme, uhuru wakuabudu, kuandika na kutoa habari, wasanii na michezo,kaboresha na amejipanga kutoa ajira zaidi ya awali, chagua JK kwa maisha bora na maendeleo ya Taifa. Chagua CCM. Pamoja twasonga mbele.