Safari ya Marekani

Kuna mwaliko wa nduguyangu aende Virginia ila kwa muda ulipo tumepambana siku mbili Ps imepatikana , naumiza kichwa kuhusu Us Embassy je atatoboa , anahudhuria sherehe ya dogo mtoto wa nduguye alieloea huko kwa miaka mingi , lengo akitoka wamfanyie manuva abaki huko kisha nami anisogeze ,maelezo yenu kuhusu hawa US embassy sio ya kitoto napata hofu tarehe nane ndio anatakiwa awe nje mwezi ujao.
Je kuomba mwaliko /ile fomu ya kuitwa pale Embassy ni gharama zipi au ni free naomba mwongozo
 
Andaa $163 mfuko wa shati.
 
Je hua inakua refunded or hakuna ,analipia wapi hio pesa pale pale embassy or manake aliniomba leo
 

Weka hayo maswali na majibu
 
Yani ukifika airport kuwa makini utatekwa upelekwe ukraine
 
Ukifika airport kuwa makini utatekwa upelekwe ukraine
 
Marekani si Kama unaenda Ikwiriri
 
Point. Unakuta huyo anayetaka kwenda "kutalii" USA koromeo limechongoka Kama kigoda. Ubalozi wanabaki kucheka kimoyo moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…