Ilianza nikiwa chuo miaka ya 2003;huko sekondari sikuweza kutokana na mazingira yasiyokuwa huru.
Nilikuwa napiga pombe sana ndio ilikuwa starehe ya kwanza,
Pia nilikuwa naenda sana club,nikiona mtoto mzuri awe mwafrika,mzungu namuomba tucheze
Kutokana na kutumia pombe, ikanipatia wapenzi mbalimbali waafrika,wazungu n.k
Nilikuwa nikimpenda mtu...natafuta namba yake najifanya nimekosea kutuma sms,baada ya hapo mchakato unaendelea.
Nilikuwa nafunga safari toka mkoa mmoja kwenda mwingine sababu ya demu tu.
Kutokana na tulivyozoeana chuoni wenzangu wakawa wananipatia namba za totoz wakati hata mimi siwajui;nikawa nazipiga na tunapeana appointment...siku ya kuonana ukimuona mwenzio kimeo...unakimbia kambi;ilifikia mpaka nikapewa jina la mzee wa k