Safari ya Kwenda Madagascar

mdau mpya

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
473
Reaction score
651
Wakuu Habarini.
Mwaka huu nina plan ya kwenda kutalii huko Madagascar...kuna mwanaJF yeyote alishafika huko na life huko likoje na nini cha kuzingatia kwenda huko. Nilitaka kwenda comoro rafiki yangu wa karibu katoa experience mbaya kidogo hususani kwenye viwanya vya kujirusha. As plan B sasa nimeamua kwenda Madagascar please tushare idea wakuu.
Asanteni
 
Madagascar ni nchi mmoja nzuri sana kimandhari. Kuna wanyama (lemur monkeys nk) na miti kule ambazo huziwezi kuona sehemu nyingine duniani kote. Kwa sababu in kisiwa, kote kuna white, sandy beaches! Ilitawaliwa na Ufaransa, kwa hiyo wanajua kula bata. Lugha wanazungumza kimalagasi na kifaransa (zaidi mjini). Lakini hali ya kisiasa ni mbaya na hali ya amani si ya kuridhisha. Hata hivyo kama una mwenyeji kule, go, broaden your horizons! Lakini ukitaka viwanja ya kujirusha, Madagascar itakukwaza!!!!. Kimaendeleo wako nyuma zaidi kuliko sisi. Watu wanaotaka kujirusha huwa wanaenda Sauzi!
 
Kua mzalendo nenda visiwa vya saa 8,hahah.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Itakuwa pazuri maana nimeona katuni yake ni nzuri sana
 
Shelisheli ni pazuri pia na hatuhitaji viza. Lakini utahitaji mfuko iliyo na kina refu na iliyojaa dola! Kila kitu wanaagiza kutoka nje. Ni kweli hamna longolongo, na asubuhi utakuwa unasalimiana na akina Bill Gates
 
Thanks mkuu for the info.
 
Shelisheli ni pazuri pia na hatuhitaji viza. Lakini utahitaji mfuko iliyo na kina refu na iliyojaa dola! Kila kitu wanaagiza kutoka nje. Ni kweli hamna longolongo, na asubuhi utakuwa unasalimiana na akina Bill Gates
Hebu nione kama horizon yangu inaruhusu huko
 
Hv Shelisheli...ndio Seychelles huwa nachanganya sana haya mambo!
Shelisheli ni pazuri pia na hatuhitaji viza. Lakini utahitaji mfuko iliyo na kina refu na iliyojaa dola! Kila kitu wanaagiza kutoka nje. Ni kweli hamna longolongo, na asubuhi utakuwa unasalimiana na akina Bill Gates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…