Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,715
Ss tulienda kutembea tu zenji,na timu ilienda kulinda heshima ya mapinduzi tu ila lasivyo tusingeenda kabisa
Ss tulienda kutembea tu zenji,na timu ilienda kulinda heshima ya mapinduzi tu ila lasivyo tusingeenda kabisa

Maneno ya mfa maji haya mkuu Ndumbula Ndema:Shika adabu yako kijana.
Kabisa,sisi hatukati tamaa.
Aisee usiniongezee machungu,subiri kwanza nimalize kuomboleza.
Lengo letu ni TPL, tukilikosa hilo mtakuwa na lakusema
Mbona mmeshiriki? mngejitoa basi...Simba ni timu ya hovyo (in Tundu Lissu's tone)
Mara ngapi tuwaambie kuwa Yanga kwenye hilo kombe la Maulid sijui kitu gani hatunaga mzuka?