veroos
Member
- Sep 15, 2020
- 44
- 234
Katika maisha tunapitia changamoto nyingi mno
. Ila tumepewa zawadi ya mapenzi na Muumba Ili kupunguza uchungu tunaokutana nao katika safar nzima ya maisha
Katika miezi mibovu kwangu ni pamoja na huu nimesafiri KUFATA MHOGO Arusha kutoka Tunduma
Wanaume kuweni na aibu hata kidogo basi aiwezekan uwe unabadilisha wanawake kama nguo na wote unawapeleka nyumba unayoishi mnaboa wenye tabia za hivo sana katika katiba mpya hili suala tutaomba liwepo kuwafunga wanaume wa hivo
Nimefika Arusha salama lakini nakutana na vituko namna hii mwanaume age34 Bado unaangaika na bint wa 16yrs men stop this pls
haitoshi mama mwenye nyumba hakai hapo ila ndio anagombaniana na vidada MHOGO yaani akikuta kadada anakaramba makofi hio si laana?
Laiti ningejua kuwa mahusiano ya mbali umoja wa mataifa ndio wanaweza nisingejihusisha na haya mahusiano ambayo mpaka sasa sijui yalikuwa yanahusiana na Nini
Nawapa tahadhari acheni kizifata mbunye na papuchi mbali mtajakupigwa vitu vizito dumu na yule mtu wako wakaribu kama tu hakuletei U.T.I
. Ila tumepewa zawadi ya mapenzi na Muumba Ili kupunguza uchungu tunaokutana nao katika safar nzima ya maishaKatika miezi mibovu kwangu ni pamoja na huu nimesafiri KUFATA MHOGO Arusha kutoka Tunduma
Wanaume kuweni na aibu hata kidogo basi aiwezekan uwe unabadilisha wanawake kama nguo na wote unawapeleka nyumba unayoishi mnaboa wenye tabia za hivo sana katika katiba mpya hili suala tutaomba liwepo kuwafunga wanaume wa hivo
Nimefika Arusha salama lakini nakutana na vituko namna hii mwanaume age34 Bado unaangaika na bint wa 16yrs men stop this pls
haitoshi mama mwenye nyumba hakai hapo ila ndio anagombaniana na vidada MHOGO yaani akikuta kadada anakaramba makofi hio si laana?Laiti ningejua kuwa mahusiano ya mbali umoja wa mataifa ndio wanaweza nisingejihusisha na haya mahusiano ambayo mpaka sasa sijui yalikuwa yanahusiana na Nini
Nawapa tahadhari acheni kizifata mbunye na papuchi mbali mtajakupigwa vitu vizito dumu na yule mtu wako wakaribu kama tu hakuletei U.T.I