Safari ya Bukoba

Safari ya Bukoba

nyamofu

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
295
Reaction score
75
Wadau nimepanda meli ya Mv Victoria naelekea bukoba, kwa mujibu wa tiketi twatakiwa kuondoka saa 3.00 kamili usiku ila mpka sasa haijulikani tutaondoka saa ngapi, na hakuna wahusika wa meli hapa.
 
Kama rail way ya kati tu tena bora hata ninyi mmeahirishiwa kwa masaa kadhaa.
 
Siye tumeshapanda kabisa meli yaani saa 4.45 twatangaziwa kuwa meli haiondoki
 
Bora umeambiwa haiend maana hujui nn kingetokea usilalamike shukuru sn
 
Kifo ni kifo tu, kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ataonja mauti. Tatizo ni kutotoa taarifa mapema kwa abiria

Ndugu jipende,nakama hujipendi basi wapende wanaokupenda.....
Usitafute kifo mwenyewe,hyo meli ipo mahututi itapiga chini anytime
 
Wadau nimepanda meli ya Mv Victoria naelekea bukoba, kwa mujibu wa tiketi twatakiwa kuondoka saa 3.00 kamili usiku ila mpka sasa haijulikani tutaondoka saa ngapi, na hakuna wahusika wa meli hapa.

We ni mgeni mkuu? wenyeji tulishaacha kutumia huo usafir muda mrefu sana! hizo meli ni za kusafirisha mizigo sio abiria! nakushaur siku nyingine tumia usafir wa mabus ni mengi sana na ya kisasa na kila muda utakaojisikia kusafir utapata gar!
 
Nanii huyu si alisema atanunua meli mpya alivyokua akiomba kura 2010
 
Back
Top Bottom