Badilisha hiyo heading yako hapa sio fesibuku au instagram!
Hawa ndo wachafuzi wa lugha, hafu hua wananikera sn.Badilisha hiyo heading yako hapa sio fesibuku au instagram!
Eti "Muxiki" kwani ukiandika kwa usahihi hilo neno likasomeka "Muziki" utapungukiwa nini?!
Awwwwww rangi na stika vimenibariki sana.
Naionaga kimara kweli ...Jamaa huyu yanga ikifungwaga huwa anapata wakati mgumu sana Ku drive toka taiga hadi kimara
Naionaga kimara kweli ...Jamaa huyu yanga ikifungwaga huwa anapata wakati mgumu sana Ku drive toka taiga hadi kimara
[emoji23] [emoji23]Kiyoyozi speed yako