Safari moja, mabasi matatu!

Safari moja, mabasi matatu!

chamlungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
326
Reaction score
339
Wakuu jana tarehe 1.11.2014 nilisafiri kutoka Dar kuja hapa Igunga. Nilipanda basi la Mohamed Trans la Kahama.Tuliondoka Dar saa 12.30, tukafika Dodoma saa 8 hivi. Wakatuambia basi letu lina tatizo, tukafaulishwa kwenye basi jingine. Kabla hatujafika Manyoni likaanza kuchemsha. Tukalazimika kusimama mara 2 kuongeza maji. Tulipofika Singida tukafaulishwa tena kwenye basi jingine. Nilifika hapa Igunga saa 4 hivi. Kuweni makini na hayo mabasi ya MOHAMED TRANS mengi yamechoka kabisa
 
Lakini si ulifika.........?
 
yaani hayo mabasi hayafai kwanza ni chinja chinja hasa mwisho wa mwaka watu wawe makini kuanzia mwezi wa kumi na moja mwishoni ndo mda wa kafara.
 
Hivi nani humuangusha mwenziye?Basi au dereva!?Msafiri kafiri,vumilia.Ndege zitaletwa mkuu!
 
Pole mkuu
Ulikuwa hujui mohamed trans ni scrapper ??
 
Pole mkuu
Ulikuwa hujui mohamed trans ni scrapper ??

Yaan mtl ni shid,tena ya musoma ndio balaa. Mnalala mwanza na kesho yake mnafika musoma saa nne yan as if mlikuwa mnatokea shy na wkt mmelala mwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom