Aisee safari ni Beer la maBeer,
Mimi huwa ninacode zangu, nikifika counter namwaambia kwanza nipe Safari iliyotengenezwa atleast mwezi1 uliopita na anitafutie shingo nene, hapo naburuduka mpaka basi...Safari ni Safari
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kili bariiidi hii bia naikubali sana ila majuzi imeanza kunizingua nilikunywa kama 27 hivi asubuhi nikaamka kichwa kinagonga balaaa.
Alafu siku hizi zinakuwa na radha tofauti tofauti hasa zile ndogo