Kwaiyo ulitaka akubali ule wa bagamoyo port wa miaka 99?kukosa Vision ya kitaifa hilo ndio jibu KUU.
Bila shaka na yeye anajua kama alivyositisha miradi ya watangulizi nae wakiingia wengine madarakani hio miradi yake wataisitisha tu ndio maana anakwambia nimeamua kugombea urais tena ili nimalizie miradi niliyoianza maana sioni wakuiendeleza. Hahah.
Kwa hio ndio ikamfanya aihamishie na Atcl ofisin kwakei ili isikaguliwe mahesabu na CAG sio?Kwaiyo ulitaka akubali ule wa bagamoyo port wa miaka 99?
Au mrad upi
Ukimwambia mwenyewe atakujibu ule ulikua ni uchumi feki, huu sasa ndio halisi.Tatizo Jiwe, sekta yote ya ujenzi imedumaa kuanzia mtu mmoja mmoja, mashirika, taasisi binafsi n.k.
Hata Dar sasa zile skyscrapers alizoacha Jakaya zimejengwa au kuanza kujengwa ndio hizo hizo zilizobaki. Zilizokuwa proposed na mashirika ya umma zote zimepigwa marufuku.
Hakuamishia ATC ofisini kwake, alijua akinunua ndege kwa jina la ATCL zitataifishwa na wadai kwa aababu ATCL ina madeni ya kipumbavu yasiyolipika aliyoacha mtu kama MATAKA na wenzake.Kwa hio ndio ikamfanya aihamishie na Atcl ofisin kwakei ili isikaguliwe mahesabu na CAG sio?
Acha ujinga wewe unachanganya madesa tu.Hakuamishia ATC ofisini kwake, alijua akinunua ndege kwa jina la ATCL zitataifishwa na wadai kwa aababu ATCL ina madeni ya kipumbavu yasiyolipika aliyoacha mtu kama MATAKA na wenzake.
Kwa hyo ndege zimenunuliwa na serikali wakazikodishia ATCL kukwepa hilo, na waliliongeleaga mwanzoni kabisa sema Watz tuu wajuaji sana na tunapenda kushikilia kitu kimoja hata kama hakina ukweli
Hiyo miradi ingekua mwanza au popote kandaya ziwa ingeendelea.Kukosa Vision ya kitaifa hilo ndio jibu KUU.
Bila shaka na yeye anajua kama alivyositisha miradi ya watangulizi nae wakiingia wengine madarakani hio miradi yake wataisitisha tu ndio maana anakwambia nimeamua kugombea urais tena ili nimalizie miradi niliyoianza maana sioni wakuiendeleza. Hahah.
Hahah kumbe tatizo ni 'geographical location' tu mkuu.Hiyo miradi ingekua mwanza au popote kandaya ziwa ingeendelea