Safari 2015; CCM 3 vs CDM 1

Mafilili huna jipya ukitaka kujua ccm wamekwisha hainiingii akilini kuona Jk anamteua Nchimbi kuwa waziri ile hali nchimbi jimboni kwake hawamtaki kabisa na wanalia na umeme hadi jana Chadema wameamua kuitisha maandamano kudai umeme.
 

Kweli nimeamini ukiwa ccm automaticaly unakuwa na akili iliyodumaa, na fikra zinakuwa zisizo endelevu.
Hivi hapo nani mshindi? CDM mashinikizo yao yote ccm imefanyia kazi ingawa si kwa kiwango walicho amriwa na CDM.
Huoni kwamba sasa hivi ccm na serikali yake inaendeshwa na CDM?
 
CDM 3- CCM 1 ulikosea geuza matokeo na tunapoelekea na hili watakubali itakuwa CDM 4 - CCM 0.
 
muanzisha uzi tafadhari kapige mswaki wa ubongo, kwa akili ya kawaida 2 utaelewa nani controler na nani subordinate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…