Tetesi: Saed Ramovic ndiyo kocha mpya wa Yanga

Kosa kubwa viongozi wa Yanga wamefanya.
Kwanza siyo kocha bora mashindano ya kimataifa (CFCL).
Pili alituacha kifedhuli sana wakati mbaya kwenye msimu.
Tatu inaendana na nambari moja, Timu yake inakuwa siyo nzuri defensive.
Anafundisha Gengenpressing ambayo inaacha timu yake dhaifu kiulinzi ikipoteza mpira na kufanyiwa counterattack.
Yanga haina wachezaji wenye nidhamu ya kujilinda wakiwa wamepanda juu kushambulia.
 

Miongoni mwa makocha Bora kuwahi kutua kwenye ardhi hii ni huyu jamaa namkubali Sana huyu Ni Bora Sana kwenye attacking defence pia yupo vizuri Ni muumin wa 4-3-3 akiwa anashambulia inakuwa 3-2-5.fitness ya wachezaji inakuwa juu sana
 
Miongoni mwa makocha Bora kuwahi kutua kwenye ardhi hii ni huyu jamaa namkubali Sana huyu Ni Bora Sana kwenye attacking defence pia yupo vizuri Ni muumin wa 4-3-3 akiwa anashambulia inakuwa 3-2-5.fitness ya wachezaji inakuwa juu sana
Hana ubora wowote! Alikuwa anashinda kwa kubahatisha tu. Pale hakuna kocha wa kutupeleka robo fainali pale!
 
Si usiache yana kuhusu nini kama siyo wivu.udeal na timu yako ya simba mbona una kiherehere sana.kama timu yako ni nzuri si ushukuru Mungu.washabiki wa simba mnawashwa kama pilipili.
 
Hakuna kocha hapa.

Ni upuuzi kumrudisha huyu jamaa.
Makocha wenye sifa ya kurudi Yanga kwa sasa ni wawili; Miloud Hamdi na Nasreddine Nabi. The rest ni takataka tu.

Mimi naamini uongozi utatafuta kocha mpya na mwenye CV kubwa kwenye soka la Afrika badala ya kuendelea na utaratibu wao wa kuokoteza makapi na watu wa kuja kuboreshaa CV zao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…