Saed Kubenea: Rostam kinara wa Dowans


You have taken it all wrong unanichekesha

post yangu was specifically kwa Kubenea!! sidhani hata wewe kama unamwona yuko sawasawa kichwani


Kubenea ndio alianzisha mchezo wa kumsakama Lowassa almost kila toleo, LOWASSA AND RICHMOND was there....he did make a lot of money through this topic....Jokakuu sidhani kama ulikuwa unalalamika kwa nini kubenea anamsakama Lowassa

leo watu wanamshangaa Kubenea zaidi kuliko Lowassa!!!

Halafu Jokakuu please acheni hoja za kuwa 'mbona anasakamwa huyu zaidi wengine wanaachwa''

kuna mtu kakuzuia kumsakama Kikwete au Rostam?? since when you have become a wise men to tell people what to say and what not to say??.....hapa umechokoza

The fact is that Kikwete,Lowassa na Rostam ni wezi, majambazi na mafisadi.....ukiikubali hii fact ambayo umeiandika
Then kubali kuwa huwezi kuwasema hawa katika mizani mmoja au frequency moja

Pigana Lowassa aingie ikulu, hii eti huyu anasemwa sana kuliko yule ni utoto tena wa hali ya juu na wewe na hao washirika zako inabidi muone aibu, you are not this low guys common!!

it is just natural!! inatokea tu automatically hata leo wanafunzi wakitoroka usiku na kukamatwa, kuna mmoja ataonekana ndio kinara.................hata watoto wako wakidokoa mboga kuna mmoja utamsema zaidi kulingana na background yake!!


nadhani umenielewa......hayo hapo juu was just by the way

Lakini post yangu ilikuwa inamlenga Kubenea...ambaye bila aibu wala soni anaamua kutembea uchi kwa sababu ya hela na madaraka.....sioni tofauti ya kubenea na machangudoa wanaojiuza!
 

..eh!!

..mbona umekuwa mkali hivyo leo?

..bila shaka sikukuelewa.

..vilevile si nia yangu kuwapangia watu nini cha kusema.
 
said kubenea hata sijui nimuelezeaje yakhhheee!!!
yule kubenea original kabla ya mwezi July 2015 na huyu kubenea wa lowasa.
mwaka huu tutaona mengi sana
 
Huyu kubenea ndio kanifanya nizidi kuchukia upinzani..sio wakweli..sitowaamini tena..bora niwe mwanaccm au neutral niishi bila stress za kisiasa..nilishakula bomu za machozi..sitapigwa tena

Mkuu!Maamuzi yako ni matokeo ya kuchoka akili na kutoona mbele. Nakushauri ujifunze kupambana nmaana maisha ni mapambano. Usikate tamaa mkuu badili mikakati songa mbele tusaidie nchi yetu maana inaharibiwa na hawa wanasiasa.

USIKATE TAMAA HATA SIKU MOJA . ENDELEZA MAPAMBANO maana tukiwaachiwa watatuharibia nchi.
 
Khaa!! Kubenea kwa taaluma yake haupaswa kuwa kahaba kiasi hiki. Sasa hivi kawa kahaba kama makahaba wengine. Haaminiki tena :glasses-nerdy:
 
asante, ila nitarudi nije nikupe mtizamo wangu. maana nitahitaji muda kidogo ili angalau niandika kitu cha kueleweka.

 
Alafu huyu kubenea si ndiye aliyemchafua sana lowassa kabla hajamwagiwa tindikali.

Na alivyomwagiwa tindikali alipelekwa kutibiwa India na JK. Mimi najiuliza, hivi kubenea akikutana na Lowassa anapata nafasi ya kumwonyesha makovu ya ile tindikali! Lakin EL kiboko alinfanyia kitu kibaya sana kubenea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…