Tetesi: Saed Kubenea kurudi Chadema

Unaweza kufunguka zaidi?!!
 
mamluki tayari wapo na wamejaa. ona, kuna mtu anaitwa wenje, mnyika, boniyai, kweli hata uwe hauna akili zote, unaamini hawa watakuja kumsaliti dj mbowe? Lisu ana kazi kubwa sana kuanza kukijenga icho chama upya, ninachomshauri akitoka, ajue hata akikosa viongozi wote wakakimbia, chama pamoja na yeye binafsi yupo mioyoni mwa wananchi wengi sana. hata hao walioondoka wananchi wamewadharau na wamefurahi kuondoka kwao kwani wanategemea watu waaminifu wapya watazaliwa, jambo ambalo pia ni gumu kwa sababu ni ngumu kujua yupi mwaminifu yupi sio, watu wanajua sana kuigiza. tundu lisu peke yake anao uwezo kutikisa ssm bila hata kusaidiwa na mtu kwa sababu anajua kuongea hoja, hasa zile ambazo wananchi wanapenda kuzisikia. huo ni mtaji mkubwa sana kwake, na atabeba watu wengi sana kuendelea kubaki na chama.
 
Saed Kubenea wiki ijayo atatambulishwa rasmi Chadema.

Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.
Alisharudi muda tu baada ya Mbowe kushindwa
 
Saed Kubenea wiki ijayo atatambulishwa rasmi Chadema.

Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.
CHADEMA CHAMA CHA KUTUKANA MITANDAONI NA KWENYE MAJUKWAA
 
Saed Kubenea wiki ijayo atatambulishwa rasmi Chadema.

Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.
Kama ni muislamu wa misikitini basi ni ushuzi wa bata kama waliopo ccm tu ...waislamu ndiyo maadui wa taifa kwa sababu ni ngumu muislamu kuwa MZALENDO ..muislamu akijitaidi sana basi anaishia kuwa MNAFIKI WA KIDINI ...SIYO MZALENDO
 
Kama ni muislamu wa misikitini basi ni ushu,i wa bata kama waliopo ccm tu ...waislamu ndiyo maadui wa taifa kwa sababu ni ngumu muislamu kuwa MZALENDO ..muislamu akijitaidi sana basi anaishia kuwa MNAFIKI WA KIDINI ...SIYO MZALENDO
Hili jambo hili, linatatiza sana. Natumaini kuna siku patakuwepo na mjadala wa kina juu yake. Hata hivyo, siamini kuwa ni wote; na pengine ni wachache wao tu wenye mtizamo huo unaoueleza wewe; kwa hiyo siyo sahihi kujumuisha wote kama ulivyofanya wewe.
Na huko kwingine vipi?
 
Hakuna namna,na wengine mliofukuzwa karibuni chamani na wale mliofutiwa uanachama ccm njooni chadema ila tu msiwe waoga maana hakuna kupoa
 
Wote ...uzalendo kwa muislamu ni KUWA MDINI BASI
 
mamluki tayari wapo na wamejaa. ona, kuna mtu anaitwa wenje, mnyika, boniyai, kweli hata uwe hauna akili zote,
Unapata wapi ujasiri wa kumweka Mnyika kwenye orodha kama hiyo!
Sasa huko CHADEMA mbali ya Tundu Lissu, John Heche utamwamini nani kama unamtilia mashaka Mnyika.
Wewe unadhani kubaki kama Katibu Mkuu wa chama ilikuwa uteuzi wa kubahatisha?
 
Manyika nyoka...
 
Mbona umepanic nyumbu?!!! Tunauliza tu tujue kuwa mwenyekiti wetu anayechukua nchi mwezi oktoba mbona anatunzwa ulaya?!!!!
Mbona viongozi wengi watoto wao wako ulaya au ndugu siku hizi hutakiwi kua ndugu ulaya watoto wa Jk wa mwisho wengi wanaishi Marekani propaganda za kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…