Saed Kubenea kugombea ubunge 2015 kupitia CHADEMA

Saed Kubenea kugombea ubunge 2015 kupitia CHADEMA

Status
Not open for further replies.

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
54,530
Reaction score
43,895
KUBENEA5.JPG


Wanabodi.

Mwandishi wa habari wa gazeti la ----------- Saed Kubenea, inasemekana amejapanga kugombea Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kupitia CHADEMA mwaka 2015. kwa hivi sasa Jimbo hilo linaongozwa na Silvestry Koka [CCM].

Hii itakuwa habari njema kwa tasnia ya habari kujiingiza katika masuala ya uongozi wa kisiasa, Kubenea kapata msukumo wa kugombea Ubunge baada ya kushauriana na Dr Slaa na kumuakikishia kuwa anaweza kushida Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kama akijipanga vizuri na kupata msaada wa CHADEMA.

Kila la Heri Saed Kubenea.
 
Na Mchange nae vipi au imekula kwake
 
Hii umeotoa moyoni mwako kwa amani kabisa au roho inakuuma? Kwa mtu mwenye psychologia ndogo tu ataelewa kuwa post yako imejaa woga!
 
Sina hakika na habari hizi hasa kwa kuwa chanzo chake hakiko bayana na mleta uzi ni mpinzani wa cdm MOJA KWA MOJA
 
Kuna mtu aliwahi kunidokeza kwamba Ritz ni mwana CHADEMA ila inapenda kutuchokoza ili kuchangamsha jukwaa.
Sijui hili lina ukweli?

Ila habari hii kama ni ya kweli ni njema sana kwetu.
 
Hii ni habari njema sana japo mwenye post si kawaida yake kuwa positive na cdm
 
KUBENEA5.JPG


Wanabodi.


Mwandishi wa habari wa gazeti la Mwanahalisi Saed Kubenea, inasemekana amejapanga kugombea Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kupitia Chadema mwaka 2015. kwa hivi sasa Jimbo hilo linaongozwa na Silvestry Koka [CCM].


Hii itakuwa habari njema kwa tasnia ya habari kujiingiza katika masuala ya uongozi wa kisiasa, Kubenea kapata msukumo wa kugombea Ubunge baada ya kushauriana na Dr Slaa na kumuakikishia kuwa anaweza kushida Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kama akijipanga vizuri na kupata msaada wa Chadema.

Kila la Heri Saed Kubenea.
Magamba yakisikia Kubenea huwa yanaanza kuharisha ghafla
 
Ha! Ha! Ha! Naona single za Dr slaa na Mbowe zimewaishia au ndio mnaishia Kama dudu baya kwenye bongo flava?
 
Mungu ampe uhai maana ni mpenda haki na ukweli akipanda jukwaani ni balaa
 
Iwe iweje,Kubenea ni mashine."Mwanahalisi ihamie Bungeni"
 
Kwa hiyo wewe ni msemaji wa kubenea???mi nilidhani leo amefanya press conference na waandishi then akaongea hivyo ila cha ajabu mbona unakuja kidakudaku???mtateseka sana zama hizi kwa kuongea bila kumtaja Dr Slaa,,lakini si mbaya mnazidi kutudhihirishia watz jinsi Dr Slaa alivyowakaba koo.
 
Wanabodi.

Mwandishi wa habari wa gazeti la Mwanahalisi Saed Kubenea, inasemekana amejapanga kugombea Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kupitia CHADEMA mwaka 2015. kwa hivi sasa Jimbo hilo linaongozwa na Silvestry Koka [CCM].

Hii itakuwa habari njema kwa tasnia ya habari kujiingiza katika masuala ya uongozi wa kisiasa, Kubenea kapata msukumo wa kugombea Ubunge baada ya kushauriana na Dr Slaa na kumuakikishia kuwa anaweza kushida Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kama akijipanga vizuri na kupata msaada wa CHADEMA.

Kila la Heri Saed Kubenea.
Good news from untrusted source. Japo ninapenda kuzisikia habari za aina hii, lakini sipo tayari kuzikubali wala kuziamini kutokana na kutokumwamini aliyezileta.
 
Mkuu Ritz hebu angali comment #7 ,halafu thibitisha.Kuhusu Kubenea kugombea ubunge ni haki yake kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,labda kama kipengele kinachomruhusu kitaondolewa kwenye mabadiliko ya katiba ijayo kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
 
Najua Ritz hii source ya habari umeitoa kwa kamanda Molemo ktk moja ya posts zake humu kwny thread ya masalia.

Good move said kubenea.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom