Sadifa: Sijawahi kuwa kichaa

Sadifa: Sijawahi kuwa kichaa

Watajibu kwani kichaa anajitambua?Hivi kwani kuna kijana yeyote mwenye akili timamu bado yupo CCM?Huko kutuhumiana hakunishangazi maanake ili uwe UVCCM mojawapo wa sifa kuu kuliko zote ni lazima uwe chizi.
Mshikaji Heshima kitu cha Bure ! Naomba uthibitishe au ufute kauli yako.
 
CCM ni waasisi wa ufisadi, udini, ukanda, matusi na sasa wanaanza ubaguzi baina ya bara na visiwani time will tell
 
Watajibu kwani kichaa anajitambua?Hivi kwani kuna kijana yeyote mwenye akili timamu bado yupo CCM?Huko kutuhumiana hakunishangazi maanake ili uwe UVCCM mojawapo wa sifa kuu kuliko zote ni lazima uwe chizi.
Nimemkumbuka Ben.
P.
 
Back
Top Bottom