Hemed Mzee Hemed
Senior Member
- Jun 26, 2013
- 186
- 41
watu wote wanaoangalia picha za aina hiyo kama wewe walifanyiziwa na baba zao wakuwazaaKupata picha na habari kamili kuhusu lema kufanyiwa kitu mbaya tembelea
The Acerbic Arushan - 103
"Mkuu wa nchi alipochafuliwa na 'ze utamu' kuna tofauti na hili?"Tatizo lenu hampendi kuambiwa ukweli mchungu wa yale mnayoyafanya gizani pindi yanapofahamika
achana na huyo kijana, kweli ana matusi sanaaaa kuna siku nilimsikia live mwenge-dar nilichefuka sana roho yangu, kwa ufupi sio mwanasiasa
GENERAL | ||
---|---|---|
Salutation | Honourable | |
First Name: | Sadifa | |
Middle Name: | Juma | |
Last Name: | Khamis | |
Member Type: | Constituency Member | |
Constituent: | Donge | |
Political Party: | CCM | |
Office Location: | Donge, Zanzibar | |
Office Phone: | +255 777 239823 | |
Ext.: | ||
Office Fax: | ||
Office E-mail: | skhamis@parliament.go.tz | |
Member Status: | Current Member | |
Date of Birth | 7 February 1982 |
EDUCATION | ||||
---|---|---|---|---|
School Name/Location | Course/Degree/Award | Start Date | End Date | Level |
Zanzibar University | LLB | - | - | GRADUATE |
Tanga Technical Secondary School | Technical Course | 2005 | 2005 | CERTIFICATE |
Zanzibar Democracy School, (REDET) | Short Course | 2010 | CERTIFICATE | |
Donge Secondary School | O-Level Education | 1997 | 1998 | SECONDARY |
Hamamni Secondary School | O-Level Education | 2000 | 2001 | SECONDARY |
Shaurimoyo Primary School | Primary Education | 1990 | 1995 | PRIMARY |
Donge Primary School | Primary Education | 1995 | 1996 | PRIMARY |
EMPLOYMENT HISTORY | |||
---|---|---|---|
Company Name | Position | From | To |
The Parliament of Tanzania | Member - Donge Constituency | 2010 | 2015 |
Defence and National Service of Tanzania | Private | 2003 | 2006 |
POLITICAL EXPERIENCE | |||
---|---|---|---|
Ministry/Political Party/Location | Position | From | To |
Chama Cha Mapinduzi, CCM | Chairperson -UVCCM Law Committee | 2009 | |
Chama Cha Mapinduzi, CCM | Member - UVCCM | 2007 | |
Chama Cha Mapinduzi, CCM | Member (Branch) | 2007 |
hizo zinaitwa biological reasons, una akili sana ! mtu wa hivyo ni lazima awe mwehu .Ukishaona mtu yeyote masikio yamenyanyuka juu lazima anakua na kaupungufu kwa brain kidogo
Mkuu siku zote nature haikosei aiseeehizo zinaitwa biological reasons, una akili sana ! mtu wa hivyo ni lazima awe mwehu .
Nimeona wabunge wengi, lakini huyu kiboko!... Nmeona wanasiasa wa aina mbali mbali, lakini kwa huyu hata kibajaji "Lusinde" cha mtoto!..
huyu jamaa anajua matusi, siyo siasa!..
"siamini kuwa zanzibar kuna watu wa aina hii!
leo amefanya mkutano katika kata ya magomeni eneo la shule ya msingi majengo ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi wa udiwani iliyoachwa wazi baada ya mumewe Khadija Kopa kufariki dunia. uchaguzi huo utafanyika february 9, 2014...
Amefanya mkutano wa hadhara na kufanya vioja vya kutisha.
1. Lema 'si ridhiki" - ................... (maneno mengine hayaandikiki)
2. vyama vilivyoungana kudai katiba na kukutana na mwenyekiti wetu ikulu, "ni vya watu ambao si ridhiki" (maneno halisi siyaweki).
3. Zanzibar hakuna ushoga
4. ccm chama cha amani, wapinzani wataleta vita;
5. vyama vya upinzani ni vya kikabila na kidini.
6. vyama vya upinzani "hasa CUF na CHADEMA ruzuku wanafanyia ufuska" wakati CCM inajengea zahanati.
7. Ukiwa na mkeo au mumeo kwenye tendo la ndoa na bomu likalipuka "mtaendelea au utach.....oa"
8. Ukiwa sehemu unatongoza ukasikia bomu jirani utaendelea au hapana - basi hawa jamaa wanaleta vita.
Ndugu zangu kwa haya na mengine mengi taifa letu likiendelea hivi na kuwalea watu hawa, machafuko yako njiani.
NB: iwapo atalalamika nitatoa namba zangu za simu hadharani na kutoa ushahidi, zaidi ya yote natumia jina langu halisi.
Member picture