said Nundu JR
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 466
- 359
Mbona watu wameandamana ubalozini Sasa?Ndege imezuiwa kwa sababu ya deni binafsi not goverment Acha upumbavu... matatizo ya kiuchumi gepu la masikini na tajiri yakizidi tegemea chochote. . Nyerere is no longer wacha maisha yaende mnapenda kutembea backward and not foward mmekuwa kama wagalatia wapumbavu. SADC inahusikaje?
Waliondamana labda uelewa wao mdogo ndege imekamatwa kwa amri ya mahakama hyo serikali ya SA hawana uwezo kuamrisha kuachiwa kama hata huyo rais tu anafikishwa mahakamani hyo nguvu angekuwa Nazo hizo kesi dhidi yake zisingekuwepo hila nnajua mambo yatakuwa fresh AIRBUSS itarudi nyumbani itaendelea na kazi kama kawaida.Mbona watu wameandamana ubalozini Sasa?
Waliondamana labda uelewa wao mdogo ndege imekamatwa kwa amri ya mahakama hyo serikali ya SA hawana uwezo kuamrisha kuachiwa kama hata huyo rais tu anafikishwa mahakamani hyo nguvu angekuwa Nazo hizo kesi dhidi yake zisingekuwepo hila nnajua mambo yatakuwa fresh AIRBUSS itarudi nyumbani itaendelea na kazi kama kawaida.
Zote Tz na SA ni wanachama wa Jumuiya.Ni kweli ndege imezuiwa na Mahakama, na serikali imetuma wanasheria, kiufupi ni mambo ya kisheria sioni kama SADC inahusika hapo.
Mambo gani hayo mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii dawa lazima imuingie aisee.Ndege imezuiwa kwa sababu ya deni binafsi not goverment Acha upumbavu... matatizo ya kiuchumi gepu la masikini na tajiri yakizidi tegemea chochote. . Nyerere is no longer wacha maisha yaende mnapenda kutembea backward and not foward mmekuwa kama wagalatia wapumbavu. SADC inahusikaje?
Wale waandamanaji ni vijana wa uvccm walipewa buku 7 wakamtukane balozi kwa kosa ambalo sio lake.Mbona watu wameandamana ubalozini Sasa?