Sadaka ya ukombozi wa Nchi yetu

Sadaka ya ukombozi wa Nchi yetu

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
546
Reaction score
1,114
Ndugu Wakristo wenzangu, kesho ni siku ya Dominika, hivyo nawakumbusha kuandaa sadaka mbili. Moja ni sadaka ya KANISANI na nyingine ni sadaka ya UKOMBOZI wa Nchi yetu.

Sadaka ya ukombozi wa Nchi yetu iingizwe kwenye Account ya chama cha siasa kilichosimama imara bila kuyumbishwa kupigania UKOMBOZI kamili wa Nchi hii. Chama hicho ni CHADEMA.

Unapotoa sadaka ya UKOMBOZI kumbuka kunuilizia kwamba unataka Mungu afanye nini katika Nchi hii ili kutuletea ukombozi kamili kutoka kwenye mikono dhalimu.

Ahsante, usiku mwema.
 
Back
Top Bottom