Muntu Ya Pori
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 222
- 64
Hakikisha diploma yako iwe umemaliza si zaidi ya miaka mitatu nyumaJe waliosoma diploma?
Kwa maana mkuu yaani ukiwa nje ya kigezo hiko hupati ata pesa ya meals and accomodation?Hakikisha diploma yako iwe umemaliza si zaidi ya miaka mitatu nyuma
Huna allocation mzee! Maana yake umepata mkopo hewa.Kwa maana mkuu yaani ukiwa nje ya kigezo hiko hupati ata pesa ya meals and accomodation?
Wy...mbona hakuna palipoandikwa uzushi huu
Weka hiyo record uliyozungumza na customer care.
Je waliosoma diploma?
Mambo yanayofanyika nchi hii ukiwaza sana utakuwa depressed. Enzi elimu inaendeshwa na waliokuwa wanajitambua watu tulikuwa encouraged kufanya kazi at least two years kabla hujarudi masomoni kwa ngazi ya juu (mfano ukihitimu certificate unakuwa attached mahali ili upate practical experience for two years before being enrolled for diploma course).
Kama hii habari ni ya kweli basi ina maana hawatakiwi watu wanaotaka ku-upgrade qualifications zao! Ukisikia uzoba ndio huu!
Kwa maana mkuu yaani ukiwa nje ya kigezo hiko hupati ata pesa ya meals and accomodation?
hicho kigezo kiliwekwa tangu mwezi mei kwamba waliomaliza diploma na form 6 kuanzia mwaka 2015 kurudi nyuma hii mikopo haiwahusu ila watu wengi hawakuelewa wakaendelea kuapply tu unaweza kupitia kwenye muongozo wao walioutoa mwezi mei kwenye page ya 3 kipengele cha 3.3(ii)Duuh
It doesn't matter kigezo hicho kiliwekwa lini; what matters it is the logic behind it and if it has any benefit (identified or potential) to the welfare of the country.hicho kigezo kiliwekwa tangu mwezi mei kwamba waliomaliza diploma na form 6 kuanzia mwaka 2015 kurudi nyuma hii mikopo haiwahusu ila watu wengi hawakuelewa wakaendelea kuapply tu unaweza kupitia kwenye muongozo wao walioutoa mwezi mei kwenye page ya 3 kipengele cha 3.3(ii)
Mwongozo wa Utoaji Mikopo kwa mwaka 2018/2019
View attachment 918390
binafsi sitetei kwasababu najua kinakosesha watu wengi kupata fursa ya kusoma ila ilipaswa watu walalamike tangu kilipo wekwa mwezi wa 5, ila kitendo cha kuanza kulalamika saivi inaonyesha watu hawakusoma/walipuuza sifa na vigezo vya mwombaji wa mkopoIt doesn't matter kigezo hicho kiliwekwa lini; what matters it is the logic behind it and if it has any benefit (identified or potential) to the welfare of the country.
binafsi sitetei kwasababu najua kinakosesha watu wengi kupata fursa ya kusoma ila ilipaswa watu walalamike tangu kilipo wekwa mwezi wa 5, ila kitendo cha kuanza kulalamika saivi inaonyesha watu hawakusoma/walipuuza sifa na vigezo vya mwombaji wa mkopo
Je waliosoma diploma?
We jamaa vipi...?..Kwa maana mkuu yaani ukiwa nje ya kigezo hiko hupati ata pesa ya meals and accomodation?
Sio uzushi! Mi ndio mwenye hilo tatizo bahati mbaya sana sikurekodi mazungumzo. Labda kama wataamua vinginevyo ila kwa jinsi nilivyokua naongea naye yule dada(mama) hakuna matumaini kabisaWy...mbona hakuna palipoandikwa uzushi huu