Majina siku hizi siyo utambulisho, maana sasa hivi kuna akina Mgaya wa Msoma na wengine wa Tanga, kuna akina Matonya wagogo na wengine wahehe, kuna magoha wagogo na wengine wahehe. Kwa hiyo yeye kuwa mbena hakumpi justification ya kuwa mnyalu. Utaratibu wa kujinyonga wanyalu tulishaachana nao bwana. Sioni wanyalu wanaojinyonga siku hizi.
Duh, basi mwisho kubishana na wewe sasa!Mgaya, matonya, magoha ni sawa lakini Mabena labda wewe unawajua, kwa hiyo utambulisho ni mahali mtu anaishi kama mbeya, Nilikuwa na ndugu yangu Mnyalu kama mimi akawa anasema wahehe siku hizi hatujinyongi bwana amini usiamini week mbili baadaye alijiua kwa kujichoma na chupa ya beer na kufa akiwa guest ilituhuzunisha sana, najua wewe haitakuwa hivo.
What sad about the news?
Ametaka kujinyonga na amefanikiwa kujinyonga. Ingekuwa sad kama angenyongwa
mkuu Lukolo waambie tulisha acha hiyo habari.
Hivi nyie mlisema kisa ni mapenzi,wengine sijui wakijua majibu wanajinyonga ni wapi mmepata taarifa za chanzo cha kifo cha huyu jamaa?.......acheni habari za udaku wa global publishers kuwaaminisha watu kitu kisicho na uhakika. If you dont know the cause why dont you shut up?