Sad love rnb-hip hop beat-FL STUDIO

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
14,048
Reaction score
34,477
Wakuu baada ya kupata kpata comments zenu kwenye ile beat ya kwanaza nimetengeneza Hii beat ya taratibu kidogo....
Mnaweza mkanipa maoni yenu pia kuhusiana na hii beat ya sasa
 
Yes, I like it, hii imetulia sana sio kama ya mwanzo, keep it up! Ila ushauri mwingine tu ni kwamba usiwe unaleta full beat maana kibongo bongo usijeshangaa kesho msanii fulani kaimbia beat yako na sijui kama beat zenyewe hizi zina hatimiliki, kama hazina hatimiliki huwezi shitaki mahala popote. Narudia tena keep it up!
 

Dah nashukuru kwa kunifahamisha! Nitafata ushauri wako!
 
Wakuu baada ya kupata kpata comments zenu kwenye ile beat ya kwanaza nimetengeneza Hii beat ya taratibu kidogo....
Mnaweza mkanipa maoni yenu pia kuhusiana na hii beat ya sasa

mkuu bora ungekuwa unatoa tutorial kuliko kuleta beat zako. hapa linakuwa jukwaa beats na muziki au vipi kaka
 
mkuu bora ungekuwa unatoa tutorial kuliko kuleta beat zako. hapa linakuwa jukwaa beats na muziki au vipi kaka

poa mkuu next time nitafanya hivyo!
 
magnifico watu waliomba tutorial nadhani ni C6 kama skosei mkuu vipi ilishakuja hapa jukwaani kiongozi...?.

Yap nyingi huwa nazitupia kule kwenye ile special thread yetu ya "Tujifunze muziki"
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…