GE2025 SACP Mtatiro Kitinkwi: Tumejipanga vizuri kwa ajili ya uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Clouds 360, Kamanda wa Polisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Mtatiro Kitinkwi ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kwa ajili ya uchaguzi kuhakikisha usalama na kuwa uchaguzi unafanyika kwa amani

"Na yote hii ni kuwahakikishia Wana- Dar es Salaam kwamba uchaguzi uende salama kama ulivyopangwa na kukusudiwa bila mtu yoyote kuleta vitisho au kumzuia mwananchi kutoka eneo moja kwenda lingine kutekeleza haki yake ya kikatiba"- Kamanda wa Polisi Kinondoni SACP, Mtatiro Kitinkwi

Soma pia GE2025 - SACP Mtatiro Kitinkwi: Makosa ya kiuchochezi Mitandaoni hayavumiliki, ukihusika unashughulikiwa kisheria

Tunaomba polisi wajitokeze wa wingi ili washuhudie na kukiri kwamba nguvu ya umma haijawahi kushindwa.
 
Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Clouds 360, Kamanda wa Polisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Mtatiro Kitinkwi ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kwa ajili ya uchaguzi kuhakikisha usalama na kuwa uchaguzi unafanyika kwa amani

"Na yote hii ni kuwahakikishia Wana- Dar es Salaam kwamba uchaguzi uende salama kama ulivyopangwa na kukusudiwa bila mtu yoyote kuleta vitisho au kumzuia mwananchi kutoka eneo moja kwenda lingine kutekeleza haki yake ya kikatiba"- Kamanda wa Polisi Kinondoni SACP, Mtatiro Kitinkwi

Soma pia GE2025 - SACP Mtatiro Kitinkwi: Makosa ya kiuchochezi Mitandaoni hayavumiliki, ukihusika unashughulikiwa kisheria

Zile pesa wanazopewa ndio zinawatoa akili, mbwa hawa
 
Back
Top Bottom