Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Not in Tanzania ..
Toa hapa pumba zako, msifanye watanzania ni wajinga kiasi hicho, eti tuwe na subira, kwenda hukomsizani watu wote tanzania huwa wanakurupuka, kila kitu kina taratibu zake sio kutangazatangaza tuu, walikuwa wanafuatilia taratibu thats why walichelewa, pia suala la kuachia ngazi halina maana coz mtu mwenyewe alitamka( kama alivyosema mchungaji) sasa kulikuwa na sababu gani mbaya ya kusema kuwa wanamshikiria na uchunguzi unafanyika. TUWE NA SUBIRA MAJIBU MAZURI TUTAPATA TUSIWE WAKURUPUKAJI TUU
HOTUBA YA RAIS: Ni dhahiri Kikwete alishathibitishiwa kuwa serikali haikuhusika na utekaji. Je polisi walimpa rais wa nchi taarifa ya uongo? Mchungaji Gwajima anasema huyo mtuhumiwa alikabidhiwa mikononi mwa polisi punde tu baada ya tukio, June 26sasa kulikuwa na sababu gani mbaya ya kusema kuwa wanamshikiria na uchunguzi unafanyika.
Kutokana na kutoa taarifa za uongo zinazoendelea kulichafua jeshi la pilisi pamoja na serikali, Its time now viongozi hawa wawajibike kama kweli hawako pale kisiasa. They must respect the Police Army and citizens of Tanzania, si kwa nia mbaya ni kwa kujali zaidi maslahi ya nchi na mustakabli wa taifa na usalama wake.
Kova na Mwema wajiudhuru kuonyesha nidhamu jeshinu, uungwana na professional ethics.
hawawezi kutia neno kwa sasa wapo sawa na mbwa koko anavyofyata mkia baada ya kutishiwa jiwe.Wapi Nape,Le mutuz,Zomba,Ritz na Nchemba.Serikali inazid kuonyesha udhaifu wake
Minister'f home affair 'Dr'Emanuel Nchimbi also must steap aside.