GE2025 SACP, Kitinkwi: Mtu yeyote atakayevunja sheria atashughulikiwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi haiwezekani tamko la mtu mmoja likatumia hilo hilo! Au nchi imekuwa chini ya uongozi wa samaki aina ya kambale! Yaani kila anaona ana sifa ya kutoa tamko!

Kama ni hivyo basi na mimi natoa tamko rasmi!
Msiwatishe wananchi! Kwanza hii nchi siyo mali yenu. Ni mali ya Wananchi wote.
 
Vitisho daily
maandamano yapo palepale kwa mujibu wa sheria!
 
Hivi haiwezekani tamko la mtu mmoja likatumia hilo hilo! Au nchi imekuwa chini ya uongozi wa samaki aina ya kambale! Yaani kila anaona ana sifa ya kutoa tamko!

Kama ni hivyo basi na mimi natoa tamko rasmi!
Msiwatishe wananchi! Kwanza hii nchi siyo mali yenu. Ni mali ya Wananchi wote.
Waoga kila mtu anatoa tamko kujikomba ili waonekane wanafanya kazi
 
Back
Top Bottom